SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

101 With Nakaaya Kuhusu Plus Size Na Body Shamers
Plus Fabulous

101 With Nakaaya Kuhusu Plus Size Na Body Shamers 

Katika segment yetu mpya ya plus fabulous tumepata nafasi ya kufanya mahojiano na mwanamziki, mfanyabiashara na mdau wa utalii, Nakaaya sumari ambapo tumeweza kuongea nae kuhusu maoni yake juu ya body shamers na plus size, soma hapo chini kujua nini maoni yake,

AFS: Tuanze Na Historia Yako Kwa Ufupi.

Nakaaya: Naitwa Nakaaya Abraham Sumari. Naishi Arusha. Ni mwanamziki, mfanyabiashara na mdau wa utalii.


AFS: Wakati Tunaanza Kumuona Nakaaya (Mr. Politician) Alikuwa Medium Size, Umeongezeka umewezaje Ku-keep na Fashion na Mabadiliko Ya Mwili?

Nakaaya: Miili yetu hutofautiana kwa sababu mbali mbali. Ilinisumbua sana mwanzoni ila nikaamua nilijikubali na pia nikawa nafatilia sana watu kwenye tasnia ya fashion plussize. So nikaamua naweza kupendeza huku nafanya kazi mwili wangu taratibu bila pressure za mitandaoni au za jamii.

AFS: Kama Mwanamziki Plussize do you feel pressure to look a certain way physically?

Nakaaya: No I don’t feel any pressure anymore. I love who I am. I love my ability to sing well and it’s really not about anyone… Its about me feeling great in my own skin. 😊

AFS: Unawezaje Ku-keep Up Na Body Shamers?

Nakaaya: Body shamers are just tortured souls. Tuwahurumie tu. I’m a lioness. Lions do not concern themselves with the opinions of sheep 😁


AFS: Tupe Thoughts Zako Kuhusu Body Surgeries?

Nakaaya: Well I don’t really have a strong opinion on it. Nawaza kama mtu anaweza akabadili au kurekebisha kitu asichokipenda ndani yake kwa njia salama, then my all means do it. If not- don’t. It’s really that simple Whatever makes you happy honey!


AFS: Tips For Young Plus Sized Ladies On How They Can Love Themselves The Way They Are?

Nakaaya: understand your body type and dress accordingly. Be confident. Be healthy. That’s all. If you don’t like something about yourself- change it.

Related posts

6 Comments

 1. สล็อตเว็บตรง

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/101-with-nakaaya-kuhusu-plus-size-na-body-shamers/ […]

 2. superslot เครดิตฟรี

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/101-with-nakaaya-kuhusu-plus-size-na-body-shamers/ […]

 3. ยูฟ่า191

  … [Trackback]

  […] Here you can find 57282 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/101-with-nakaaya-kuhusu-plus-size-na-body-shamers/ […]

 4. Recommended Reading

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/101-with-nakaaya-kuhusu-plus-size-na-body-shamers/ […]

 5. see here

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/101-with-nakaaya-kuhusu-plus-size-na-body-shamers/ […]

 6. buy hacked preloaded debit cards​

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/101-with-nakaaya-kuhusu-plus-size-na-body-shamers/ […]

Comments are closed.