Tumefanya Interview na mwanadada Anitha Closet tunaweza kusema nimoja kati ya interview bora kabisa ambazo tumeshawahi kuzifanya tulimpa Anitha maswali 9 ambayo alijibu kwa voice note swali la kwanza ambalo tunaanza nalo leo ni swali la yeye Anamanage vipi kuwa mama na kuwa stylish muda wote?
AFS: Ana-Manage Vipi Kuwa Mama Na Bado Ukawa Stylish Most Of The Time?
Anitha: Kwaswali la kuwa namanage vipi kuwa stylish na mama muda wote nadhani ni kuamua kwa kweli,nikuamua tu ya kwamba sintofanya role yangu hii inifanye niwe acertain way, kwasababu mimi bado, as much as mimi ni mama bado mimi ni mimi pia, mimi ni Anitha napenda kuonekana vizuri napenda kuwa smart, nikiwa smart i feel better. Na kikiwa najisikia vizuri pia nakua better version of me pia kwawatoto wangu pia kwasabu nikisema nijiachie yaani ndio nimeshakuwa mama basi ni dera tu, nywele tano kichwani yaani niko rough nini nini no,
hawa watoto wanakua baadae wataenda kuwa na maisha yao, so nawenyewe wanakuwa proud, i beleive my kids are proud kwasababu saa nyingine Alisa ananiambia “mama wamekuja my friends were like so impressed with your outfit” and that makes me happy kwasababu i know she is like wow okay my mom looks nice.

And even my son nikitoka tu nimevaa vizuri ananiambia “Wow Mommy you look so niice, you look so fashionable, you look so stylish” and that makes me happy, kwamba they also appreciate mama yao akipendeza.
Kwakweli ah, i feel like role yako isikufanye wewe ukaji-present vibaya ndo maana nasema hata kama, lets say you are having a bad day au your broke au your whetever au your broken up with someone you know you are having a real terrible day, isiwe hiyo representation yako, yaani hiyo matatizo yako ndio uwe umeyavaa,no always look good.
Jipresent yourself in a best way possible and it really, inakusaidia sana kushift mindset yako kukutoa katika ile negativity na kuwa kwenye possitive yaani kwamba, sio kwamba kilasiku i look stylish kuna days ambazo naamka nasema you know what leo ni t-shirt na sweats na slides zangu nywele zitakuwa labda kwenye bun naweza nikazifunga hata na rubber band na I’m just doing my thing basi, lakini kunasiku naamka nasema nope leo i will look nice, nita look nice kabisaa,and its just a decision kabisa you just make time for yourself kwamba nitajinunulia vitu vizuri yes i am a mom nitaget some nice things its just important just do it for yourself do it for yourself
Unaweza kusikiliza hapa
Akaendelea zaidi hapa
well tutaendelea na hii inteview siku nyingine ni ndefu na ni very informational.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/anitha-closet-ametuambia-anawezaje-kuwa-mama-na-kupendeza-muda-wote/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/anitha-closet-ametuambia-anawezaje-kuwa-mama-na-kupendeza-muda-wote/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/anitha-closet-ametuambia-anawezaje-kuwa-mama-na-kupendeza-muda-wote/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/anitha-closet-ametuambia-anawezaje-kuwa-mama-na-kupendeza-muda-wote/ […]