SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Pata Kumjua Designed By Shuu
Plus Fabulous

Pata Kumjua Designed By Shuu 

AFS: Tukufahamu Kwa Ufupi?

Shuu: naitwa designed by shuu


AFS: Kwanini Uliamua Kufanya Wedding Dresses?

Shuu: kwa sababu ni kitu ambacho napenda toka nikiwa mdogo kifupi napenda mitindo na urembo


AFS: Huwa Unatoa Wapi Inspiration Zako?

Shuu: Nikiangalia nilipotoa napata nguvu ya kupambana zaidi! Mimi ni Mschana ambaye nimetoka kwenye familia Duni, Familia ambayo mentality Mwanamke ni tegemezi kwenye Familia! Mara zote nimekuwa nikitamani kuwa kinara na tegemezi kwa jamii yangu ndio maana napambana zaidi!


AFS: Unafanya Sana Kazi Na Plussize Je Huwa Unapitia Ugumu Gani?

Shuu: kwa upande wangu hakuna ugumu wowote kwa sababu mi mwenyewe ni plussize hivo vibonge wenzangu hawanisumbui kabsaaa


AFS: Vitu Gani Huwa Unazingatia Pale Unapomvalisha Bibi Harusi Ambae Ni Plussize

Shuu: Tumbo na maziwa hivi vitu viwili hua Niko makini navyo sana


AFS: Ni Namna Gani Unataka Wateja Wako Wajisikie Wanapovaa Mavazi Yako

Shuu:  kiukweli napenda waifurahie kazi yangu na kupenda kile nimechompa


AFS: Ugumu gani huwa unapitia katika kazi yako?

Shuu: kuchelewa kulala tu mara nyingi nautumia usk kufanya kazi zangu


AFS: Gauni Gani Ambalo Umeshawahi Kutengeneza Na Ukalipenda Zaidi Ya Yote?

Shuu: Dress ya orange nilimshonea mteja wangu


AFS: Chochote Ambacho Ungependa Kusema

Shuu: kwanza napenda kuwashukuru wateja wangu kwa saport kubwa wanayonipa pia napenda kuwaambia kuna vingi vizuri vinakuja wakae tayari 🙏🏻 Asante

Related posts

1 Comment

  1. Online businesses

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-fabulous/pata-kumjua-shuu-designer/ […]

Comments are closed.