SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Plus Size Tips Tumejifunza Kutoka Kwa Ashley Graham
Dondoo

Plus Size Tips Tumejifunza Kutoka Kwa Ashley Graham 

Ashley Graham ni plus size model kutoka America ambae sisi na wengine wengi tunapenda anavyo jistyle kutokana na mwili wake as we always say fashion knows no age, limit or type of body ni wewe tu na kujitambua na kujua uvae nini unapendeza, kwa wale vibonge wenzetu huwa tunapata sana shida katika mavazi kwenye kuyatafuta lakini pia hata tukiyapata tunajistyle vipi? Tunashukuru utandawazi kwa sasa wabunifu wana angalia na upande wetu pia lakini bado tunajifunza kupitia ukarasa wa Ashley instagram tumejifunza tips hizi chache kutoka kwake,

The Little Black Dress Is A Must Have – kama kwa mwanamke mwingine yoyote wa umbo lolote LBDS ni lazima uwe nayo, ukimuangalia Ashley mara nyingi huwa anavalia haya magauni meusi ambayo yana compliment mwili wake vizuri

Vaa nguo za rangi moja – hii ni tricky ya fashionistas wengi ambayo hata sisi wenye miili mikubwa tunaweza kuitumia ili kutokuonekana na mabo mengi chagua mavazi yenye rangi moja kuanzia juu hadi chini sio tu yata kupa muonekano wa kueleweka lakini kwa namna moja au nyingine utaonekana expensive

Invest In Waist Belts – ukipitia ukurasa wa Ashley utagundua anavaa sana wait belt na hii ni kwasababu anataka kukata shape yake ionekane, ana lower the waist ili apate kuonekana tofauti ya juu na chini which is a very good trick katika kushow off umbo lako.

One Color Dress – kama ungependa kuvaa rangi rangi basi jaribu kuvaa nguo ya rangi moja, kama nyekundu basi iwe nyekundu tupu au bluu epuka mchanganyiko wa rangi, Ashley taught us

Invest in the have & the have not’s – sio tu kwa sisi wenye miili hii inaenda kwa kila mtu onyesha sehemu ambayo unayo (umejaaliwa nayo) na ficha kile ambacho hauna mfano wanawake wengi wanene hatupendi mikono yetu basi kama hupendi mikono na unamiguu mizuri ficha mikono lakini uwe unatuonyesha miguu kama utavaa vimini au magauni ya mipasuo mirefu nk. Au labda chini mwembamba juu mnene basi attention yako iwe juu kuliko chini.

Kusoma tips nyingine za plus size bonyeza hapa 

 

Related posts

4 Comments

 1. xenical diet pills buy​

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-size-tips-tumejifunza-kutoka-kwa-ashley-graham/ […]

 2. fastest car shipping company

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-size-tips-tumejifunza-kutoka-kwa-ashley-graham/ […]

 3. 다시보기티비

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-size-tips-tumejifunza-kutoka-kwa-ashley-graham/ […]

 4. ufabtb

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/plus-size-tips-tumejifunza-kutoka-kwa-ashley-graham/ […]

Leave a Reply