Video vixen na mfanyabiashara Poshy Queen amefanya mahojiano na Wema App katika segment ya My Truth ambapo katika short clip tuliyoiona kwenye mitandao ya kijamii amesema havai midosho ni bora asivae brand. Kwa wale ambao mtakuwa mnajiuliza mdosho ni nini – mdosho ni vazi fake mfano kuvaa fake t-shirt ya Gucci huo ndio unaitwa mdosho.
Tulishawahi kuliongelea hili swala la watu maarufu kuvaa brand’s fake,na our thoughts hazikupishana sana na mwanadada Poshy, kwamba bora uvae good quality unknowng brand kuliko kuvaa mdosho. Finally someone amesema ambacho tumekuwa tukikipigia kelele muda mrefu.
Would You Prefer A Fake Designer Product Or Good Quality Unknowing Product?
Video Credit: WemaApp
By: Bestizo
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/poshy-queen-havai-midosho/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/poshy-queen-havai-midosho/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/poshy-queen-havai-midosho/ […]