Sisi kama afroswagga tumemjua kutokana na Irene yule video vixen aliye sikika ana toka na Diamond Platnumz hatujui kama ni shoga yake au wana undugu lakini tunacho jua Fahyma ni mpenzi wa moja kati ya wasanii kutoka WCB Ray Vanny na kwa sasa ana ujauzito wa msanii huyo.
Fahyma ana slay ujauzito wake we love us some slaying mamas maana tunajua ki Africa mwanadada akiwa mjamzito ndio ana tumia fursa hio kuonyesha uchafu wake kwa kujiweka rafu na kisingizio ni ujauzit0 tuone some of her outfit tulizo zipenda
abaya vibes na turban scarf, ime mpa ule umama look
nani amesema huwezi ku have fun ukiwa mjamzito? muangalie Fahyma in her denim short overall, curly hair na snap back kapendeza mno
Gucci kimono well Fahyma anajua how to kill it
in doubt go red, hapa akiwa ame vaa gauni jekundu fupi, curl hair na on point makeup
this girl ana weza kukupa baby fever hapa akiwa amevaa dakish short dress na choker yake na on point makeup she is just slaying the pregnancy
Je ume penda mitoko ya Fahyma? tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/preg-slay-fahyma/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/preg-slay-fahyma/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 50098 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/preg-slay-fahyma/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/preg-slay-fahyma/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/preg-slay-fahyma/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/preg-slay-fahyma/ […]