Laura Ikeji aliwahi kuwa fashion blogger yeye na dada yake Linda Ikeji wote ni ma blogger kutoka Nigeria, seems like Laura ame simama kidogo blogging lakini hii hamfanyi yeye kuto ku-slay, Laura ni mmjazito na ana tupa pregnant fever

her shoe game on point

casual na distressed shirt

Shift dress vibes

All balck every thing

Denim on Denim