Well its about time tunaona brand za ki Tanzania hasa za mavazi ya kiume zikitoa collection za mavazi mbalimbali, brand ya PSJ Brand ambayo ina deal na mavazi ya kiume hasa suit imetoa collection ya mashati ambayo ni ya aina mbili kuna Pattern shirts na Mandarin Collar Shirts tumependa design zote mbili na to think kwamba its valentine season ni wakati na sehemu nzuri ya kumnunulia zawadi umpendae wa kiume awe baba,kaka,mjomba etc.
Pattern shirts – ni shirt zenye pattern mbali mbali kama floral na zimewekwa collar ya kawaida, perfect kwendea beach, kazini if styled well, mitoko na washikaji etc.
Mandarin Collar Shirts – zenyewe color yake sio ile tuliyo izoea, hii ni kama pull neck, ni colorful kuna nyekundu na purple, unaweza kuzivaa kazini, mitoko na washkaji, business meeting, na event mbalimbali zenye red carpet zipo ki official zaidi.
Unaweza kuzipata hapa katika blog yao psj.co.tz
Brand – Psj Brand
Model – Drudysseus
Photographer – Ally Ngassa
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/psj-brand-new-shirt-collection-is-a-perfect-gift-for-your-mcm/ […]