Mwaka jana tuliwakilishwa katika mashindano ya Miss Grand International na mwanadada Batuli Mohamed, na mwaka huu tumepata miss mpya itwae QueenMugesi Ainory Gesase, anamiaka 18 na ni mwanafunzi ambae anasomea International Relations and Diplomacy at Center for Foreign Relations.
Queen Mugesi ameshawahi kuwa model na kutembea katika majukwaa mbalimbali ya fashion likiwepo jukwaa kubwa kabisa la Swahili Fashion Week lakini pia alishawahi kuwa nominated kama female model of the year 2017
She loves singing, dancing, swimming and travelling. About four years ago, she entered the world of fashion and became a model. Since 2017, she has been working as a volunteer in an organization called Alpha and Omega Reconciliation and Peace Building creating awareness to youth, campaigning and educating about preventing war and violence.
She is honoured to be part of the Miss Grand International 2018 competition. She will use her voice to address the problem faced by women and children at war .
We all know that women and children are the innocent victims of war. We have to do much more to respond to their cries. She’s looking forward to strengthening the collaboration in ending war and violence focusing on campaigning STOP WAR against women and children so that we all can live a peaceful life and fulfilling our dreams.
Queen Mugesi atatuwakilisha katika Miss grand International huko Myanmar mwaka huu mwezi wa kumi.
Related posts
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…