SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rais Musseveni Amuhamasisha Miss Uganda 2018 Kutokuvaa Nywele Bandia
Mitindo

Rais Musseveni Amuhamasisha Miss Uganda 2018 Kutokuvaa Nywele Bandia 

Quiin Abenakyo alishinda Miss Uganda mwezi wa nane mwaka huu, ambapo alikwenda kushiriki Miss World Sanya, China na kufanikiwa kushinda taji la Miss Word Africa 2018, amerudi Nchini kwao Uganda na kupata nafasi ya kuonana na Rais Wa Nchi hio Yoweri Museveni.

Baada ya kuonana kwao Rais huyo kutoka Uganda aliandika maneno haya katika ukurasa wake wa Twitter akimaanisha kwamba miss huyu ni mrefu, mzuri kutoka Musoga, lakini wasiwasi wake ni kwa miss huyu kuvaa Indian hair, Na kwamba amemuhamasisha awe anavaa / kutumia nywele zake za asili, Na kwamba inatakiwa tuonyeshe Uzuri wa Africa katika uasilia.

Well wapo ambao walipingana nae na wapo ambao walikubaliana nae lakini BBC ilifanya mahojiano na Miss Uganda 2018, Quiin Abenakyo  ambae yeye amesema anakubaliana na Rais wake lakini pia hupashwi kum-define mtu kwa nywele au anachofanya kama upo comfortable ndicho kinacho matter

well afro mates tuambie unazani ma-miss wetu waendelee au waache kuvaa hizi wigs?

 

 

Related posts

2 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] There you will find 54113 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rais-musseveni-amuhamasisha-miss-uganda-2018-kutokuvaa-nywele-bandia/ […]

  2. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rais-musseveni-amuhamasisha-miss-uganda-2018-kutokuvaa-nywele-bandia/ […]

Comments are closed.