Hijab sio tu kitu cha kujifunga kichwa bali ina hitaji art ya jinsi ya kuvaa/kujifunga hijab , hawa ndio mastaa walio tuvutia kutokana na uwezo wao wa kufunga hijab
The Original – hii ni Hijab ambayo hufungwa miaka na miaka ina funika kichwa na masikio ameoneka ameifunga mwanamitindo Hamisa Mobetto akaiaccessorize na chain ya kichwa
Roll and tuck – hijab hii hufungwa kufunika kichwa huku chini ikiachia na ina fungwa tena chini kwa pini ameonekana ame ivaa mtangazaji Peniel
Turban – hiki ni kama kiremba ila kina kuwa designed kwa style ya pekee,
The Desert Princess – hii huvaliwa kijikofia ndani halafu mtandio una tupiwa kwa nje kufunika masikio na sehemu za shingo. Miss Tanzania Wema Sepetu alionekana katika style hii ya Hijab
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ramadhani-hijab-style-kutoka-kwa-mastaa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ramadhani-hijab-style-kutoka-kwa-mastaa/ […]