Mwezi mtukufu wa Ramadhani ukifika vitu vingi vinabadilika ikiwepo mavazi ya watu, na kwa sasa ukiwa unaendelea tumejaribu kuangalia watu maarufu mbalimbali na style zao katika wezi huu Mtukufu wa Ramadhani na tunaweza tu kusema wanautendea haki
Mtangazaji Meena Ally na mbunifu meeena_monroe wote wakiwa wamevalia this gorgeous red dress kutoka kwa Meeena Monroe collection, wakati Meena Ally yeye alichaguwa kuwa casual chic, akiwa amevalia hii gauni na white kicks akiwa amemalizia na grey turban, Meeena Monroe yeye alivaa gauni hii na nude pumps, red turban na akiwa amemalizia na simple accessories.
Cyrill Kamikaze, Juma Jux na Ommy Dimpoz wao wametuonyesha namna unavyo weza ku-style kanzu nyeupe ukiwa umevalia blazer, Cyril na Juma wao walivaa kanzu na blazer nyeusi wakamalizia mionekano yao na miwani na saa, huku Ommy yeye akiwa amevalia vivyo hivyo akiwa ameongea na balaghashia.
Socialite Mbabazi Shadia a.k.a Shady Boo kutoka Rwanda yeye tumemuona akiwa amevalia open abaya nyeusi amemalizia na channel bag nyeusi na mtandio mweusi.
Style blogger Azure Kange yeye alichagua kuvaa print maxi dress amemalizia muonekano wake na black belt na orange hijab, tumependa hii color mixing.
Well tuambie wewe mwezi huu style zako zimebadilika kwa kiasi gani?
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…