Hii rangi imeonekana kuwavutia wengi hasa ma Fashion Blogger na ma stylist, ime onekana kuvaliwa mara kwa mara na wengi wanao vaa hupendeza nayo. Ina chukua rangi ya mtu yoyote eidha dark au light haichagui. rangi hii ni njano iliyo kolea sana si mpauko ni ile njano inayo elekea orange
Blogger hawa mapacha kutoka Kenya wame ivaa kama Jumpsuit na Kimono
Blogger huyu kutoka Nigeria kaivaa kama Jumpsuit pia na ame pendeza mno
Huyu Fashion Blogger mwingine kutoka Kenya ame istyle rangi hii mara mbili
i) kaivalia kama blazer ya juu ya gauni nyeupe
ii)kaivaa kama gauni tu akiwa kavalia na blazer ya rangi ya kaki (stylish)
Hapa kwetu Tanzania Ma Stylist wawili walikaa na kumvalisha bi dada huyu rangi hii kama suit
unaweza kuwa nayo na kuistyle vile upendavyo
Related posts
8 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rangi-hii-ina-faa-kuwa-nayo-wakati-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rangi-hii-ina-faa-kuwa-nayo-wakati-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rangi-hii-ina-faa-kuwa-nayo-wakati-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rangi-hii-ina-faa-kuwa-nayo-wakati-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rangi-hii-ina-faa-kuwa-nayo-wakati-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rangi-hii-ina-faa-kuwa-nayo-wakati-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rangi-hii-ina-faa-kuwa-nayo-wakati-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rangi-hii-ina-faa-kuwa-nayo-wakati-huu/ […]