SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reacting To Hamisa Mobetto’s Recently Looks
Mitindo

Reacting To Hamisa Mobetto’s Recently Looks 

Did Hamisa Mobetto just broke the celebrities fashion code? Hiki ndio kitu tunataka kuona kwa watu maarufu wetu sio tu wa kike ila na Wakiume pia… Hamisa amevunja ile code ya kudress kama celebrity.

Watu maarufu wengi hudhani unatakiwa kuvaa vitu vingi ili ustand out kumbe code ni wear simple and let few Statement pieces stand out mtajiuliza mh Afroswagga unaongea nini?

Well tutakuonyesha mifano michache kutoka kwa Hamisa Mobetto namna ambavyo amestand out na outfit zake,

Tuanze na hii ambayo ni recently Hamisa amevaa vitu vinne tu lakini amestand out, ukiangalia utajua hapa kacheza na color coordination na kuacha gauni iongee, the dress hapa ilikuwa statement piece alichofanya ni kuchagua rangi moja ambayo ime-go around the whole outfit ambayo ni white hii imesababisha outfit iweze kuonekana pulled together.

Outfit nyingine ni hii pia unaweza kuona ambavyo amefanya color coordination lakini cha muhimu zaidi ambacho kimefanya huu muonekano ustand out ni hio ankle bag, without that ka-bag angependeza lakini hakukua na much to talk about zaidi ya kuwa a cute outfit.

Definitely unaweza kuona ambacho kimefanya huu muonekano u-pop ni boots, the outfit ni full black adding those statement boot zimeupgrade the look, yes sometimes you only need one piece to upgrade your look.

As a celebrity unahitaji kuwa simple yet classy ukiangalia hizi outfits unaweza kuzipata mtaani lakini ni namna ambavyo Hamisa amezi-style zimefanya kuonekana tofauti, we are here for this transformation.

Related posts