SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reader Feature : Pendo Clement Luvanda @love_walcot
Ana Kwa Ana

Reader Feature : Pendo Clement Luvanda @love_walcot 

Tumeanzia hii session kwa ajili ya ku give back kwa wafutiliaji wa blog yetu lakini pia kwa yoyote katika jamii ambaye ana penda fashion, life style au urembo. Hii ni kuwapa nafasi watu wote na pia kupata kujuana vizuri zaidi si kila siku sisi au watu maarufu tunajua kuna watu out there ambao wanajua au kuweza vingi lakini hawapati nafasi huu ndio muda wenu kama una mjua mtu au unajua unaweza vitu tulivyo vitaja hapo tafadhali tutafute kupitia Email: afroswagga69@gmail.com au kwenye mitandao ya kijamii.

Leo katika hii session tupo na Pendo Clement Luvanda au @love_walcot tumemuona Instagram tukapenda jinsi anavyo vaa mavazi yake tukamtafuta ili kujua mawili matatu kutoka kwake. Karibu kusoma

Afroswagga – Tuambie kuhusu wewe Una Fanya nini?

Pendo: naitwa pendo luvanda nina degree ya bachellor of business management in Finance Mysore India , nimechukua finance but basically nataka kufanya business since my mom ndio ananiinspire.


Afroswagga :Tumeona Una blog na Una waambia watu kwamba Kama wanataka vazi ulilovaa wakutafute je unabuni pia? yaani mbunifu?

Pendo: mimi ninablog yeah where napenda kuwaandika watu my details ili wajue nguo nilizovaa nilivyopangilia na pia na bei kama watataka kununua ,yeah naweza kusema mbunifu kwanza ukiachana na fashion nanimebuni macover ya sim ya picha ambayo yanaitwa customized cases where respond yake niliyopata ni kubwa snaa tofauti nilivyofikiria nashukuru Mungu mpka machine yake now nimenunuliwa


Afroswagga:Kama fashionista tuambie vitu gani unavipenda kwa sasa as in shoes,nguo,etc

Pendo: imi napenda shoes , saa ,nywele nzuri ,napenda kupendeza in general so ukiachana na kuuza napenda kuonekana smart ili hatakuvutia watejalooking good gives me life.

Afroswagga: Wakati unachagua cha kuvaa huwa unafikiria nini? au unakua inspired an nini?

Pendo: ufikiria cha kuvaa huwa nafika kwenye kabati kitu kitakachokuja on my mind nakivaa huwa siulizi compliments kwa mtu najipa credit  mwenyewe nakuwa na confidence na nguo nilizovaa


Afroswagga : katika chitchat zetu umetuambia ni mfuatiliaji mzuri was afroswagga unaweza kutumbia Kama blog yetu imewezaje kukusaidia?

Pendo: Mimi mfuatiliaji mzuri sana niliona kipindi kupitia Lilian wa storm nikawa nawaangalia sana, i love getting new things like fashion tips kupitia people that you post sometimes when you post pia kukosoa i learn new things from it.

Afroswagga : Asante kwa kukubali kufanya interview na sisi cha mwisho je unakipi cha kuwaambia watanzania?

Pendo: Watanzania fashion is all about yourself sio lazima mtu fulan avae ndio uige no unaweza ukajibuni mwenyewe na ukapendeza, fashion is all you not any other people..when u look good your mind becomes smart too sio kwa Instagram ili upost but looking good sehemu yeyote.  Thank you for the interview have a blessed day

Click here to Reply or Forward

Related posts

3 Comments

 1. mm88

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reader-feature-pendo-clement-luvanda-love_walcot/ […]

 2. Dark web market links 2023

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reader-feature-pendo-clement-luvanda-love_walcot/ […]

 3. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Here you will find 88526 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reader-feature-pendo-clement-luvanda-love_walcot/ […]

Leave a Reply