Zynell Lydia Zuh ni muigizaji kutoka Ghana ambae kwetu ana tuvutia na mitindo yake akiwa red carpet au kawaida, Zynell ana slay hatari kuna wale ambao wanasemaga fulani kapania kwenye red carpet tunadhani hamja wahi kukutana na huyu dada huyu hapanii ana komoa, ana hakikisha akiingia watu wote mnajua Zynell kaingia tunahisi hata huko kwao wakijua na yeye ana attend sehemu fulani huwa wanajiandaa hasa leo amekuwa red carpet crush wetu au WCW upande wa Redcarpet
Unaweza kuangalia chini baadhi ya mitoko yake kwenye red carpet
Glitz Style Awards 2016
Ghana Women of the Year Honours
Ghana Movie Award
Vodafone Ghana Music Awards hili lilifanana na la Celine Dion
Hizo ni baadhi tu ambazo sisi tumezichagua ana nyingi unaweza kumuangalia hapa
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-crush-ghana-actress-zynell-lydia-zuh/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 90659 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-crush-ghana-actress-zynell-lydia-zuh/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-crush-ghana-actress-zynell-lydia-zuh/ […]