Ule muda ambao wengi wetu tunaupenda uli happen ijumaa ambapo watu maarufu wengi kutoka Uganda na Nchi nyinginezo kutoka Africa kama Tanzania, Kenya Na South Africa walikutana sehemu moja napo ni Serena Hotel iliyopo Nchini Uganda. Red Carpet ndio sehemu ambayo watu wengi huwa tuna judge sense of styles za celebrities wetu na hawa ndio walio tupendeza katika tamasha hilo
kutoka nyumbani tulikua na Hamisa Mobetto, Jihan, na Abby ambao hawaku tudisappoint kabisa
Hamisa alivaa gauni kutoka kwa mbunifu fifi sugar design kutoka hapa hapa nyumbani Tanzania, li complite her look na simple make up na bold lipstick with ombre hair
Jihan Dimachk alivaa gauni la blue lenye sheer nyeusi chini kutoka kwa @glamourtends1 ali malizia muonekano wake na bold red lipstick na chain
Abby Plaatjes yeye alivaa metallic dress kutoka kwa mbunifu @kyamirwa
floshashaka alivaa White elephant dress kutoka kwa Mama:@brenda_nanyonjo_miss.b
sheilahgashumba alivaa gold & black Dress kutoka kwa @poshbykc
Bonang Matheba kutoka South Africa alikua red carpet host katika sherehe hio ali slay in brown and gold dress
shalomkalule kulia wa kwanza ame vaa gols & white dress kutoka kwa Beryl
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-katika-uganda-entertainment-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-katika-uganda-entertainment-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-katika-uganda-entertainment-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-katika-uganda-entertainment-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-katika-uganda-entertainment-awards/ […]