SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Red Carpet Review Sultan Fore Men Shoe Launch Event
Mitindo

Red Carpet Review Sultan Fore Men Shoe Launch Event 

Well juzi ilikuwa siku ambayo wengi walikuwa wakiisubiria ambapo msanii, mchekeshaji na mtangazaji Idris Sultan alikuwa akizindua brand yake ya viatu vijulikanavyo kama “SULTAN BY FOREMEN”. And tunakuletea a simple review ya black carpet katika uzinduzi wa viatu vyake.

As usual Idris alitudatisha na kuendelea kupendeza akivalia a dark brown suit kutoka kwa Mtani Bespoke styled by Rio Paul. Chini alivalia viatu toka katika brand yakeHakika he was among the best dressed.

Mtangazaji Tahiya George topped our best dressed akiwa ndani ya a red velvet dress and silver shoes huku nywele zake fupi za kunyoa zikiwa na a dark blonde colour. Gauni la Tahiya limebuniwa  na mbunifu anayechipukia Saleh Hamimu.

Pia stylist maarufu nchini alipendeza akiwa ndani ya suit ya purple kutoka kwa mbunifu JReason toka Nigeria. Rangi ya suit hakika imetuvutia and akiwa among best dressed list kwa wanaume.

Also manager na rafiki wa Idris Docta Ulimwengu was among the best dressed pia akivalia a deep red velvet coat with the rest being all black  pamoja na viatu toka kwa Idris’ brand. Docta Ulimwengu wa kwanza kulia

Pia mbunifu huyu alimvalisha na kumpendezesha the one and only Mine Spartan ambapo alivalia an air force blue coloured mini dress. We loved the mini dress an details zake.

Pia mbunifu wa mavazi Martin Kadinda alitokelezea kitofauti as wengi hutegemea a formal suit bali alistyle shati lake with a scarf yenye maua, a too simple look for such an event.

Pia Dullah Spartan alivutia macho ya wengi kwani alitupia vilivyo for the black carpet. Miwani, suit yake ya blue with squares vilivutia sana. Ila viatu tu, havikuweza kuendana na kukamilisha muonekano wake. Dulla wakwanza kushoto

 mwanamuziki Luludiva also was among our best dressed female ceberities. Alitokelezea at the black carpet with a golden yellow laced dress. Gauni hili did make a statement as lilikuwa na mkia toka kwa mwanadada Rehema Jonas (Rey Jons). Pia her makeup and hair vilikuwa on point.mastaa mbalimbali wa muziki walikuwepo na waliotuvutia ni Izzo Business ndani ya a peak three piece suit toka kwa mbunifu anayechipukia Frank Manyama.

And rocking her Kitenge mini dress with lovely patterns was kutoka kwa the House of Stylish ni star Husna Maulid. Gauni lake toka kwa Wolper lilivutia macho yetu. Imeonekana magauni mengi toka kwa Wolper kuwa na design na material zile zile hivyo hili, lakini hili la dada Husna lilikuwa la kipekee. And her yellow shoes vilimatch vyema na gauni lake. Also her hair and make up ilikuwa on point.

Msanii Quick Rocka alipendeza pia akivalia a grey suit.

Pia host wa kipindi cha Storm tv was also among slayers akiwa styled na mbunifu Saleh Hamimu. She rocked an all white coat and shorts zikiwa paired na black Chelsea high wedged boots matching her top.

Ila wapo baadhi ya maceleb waliweza kutunagusha katika utupiaji ambapo msanii wa filamu Gabo Zigamba topped our mens worst dressed list. Muonekano wake wa kichwani haukuwa umetengenezwa as the hair na ndevu was a mess. Pia koti likiwa a bit oversized.

Msanii wa hihop Fid Q pia had poor styling maana viatu na kofia yake vilimuangusha and were not fit for such a black carpet.Fie Q katikati

Host wa event, mtangazaji Lil Ommy hakuimpress pia as suit yake toka kwa ki2pe did him no justice plus the shoes were badly styled

imeandikwa na Willibard_jr 

Related posts

2 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-review-sultan-fore-men-shoe-launch-event/ […]

  2. Frenchies (French Bulldog) Puppies For Sale near me

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-review-sultan-fore-men-shoe-launch-event/ […]

Leave a Reply