SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Red Carpet & Stage Outfit Katika Uzinduzi Wa Album Ya Diamond Platnumz “A Boy From Tandale”
Mitindo

Red Carpet & Stage Outfit Katika Uzinduzi Wa Album Ya Diamond Platnumz “A Boy From Tandale” 

Diamond jana amezindua Album yake aliyoipa jina la ” A Boy From Tandale”, Diamond amezindua Album hio Nchini Kenya, kama kawaida jicho letu likawa katika mavazi yaliyo valiwa katika event hio na hatukuwa surprise kabisa kuona hii huzuni. Picha nyingi tulizoziona ni za kwao wenyewe bado hutajaona za wageni waalikwa, We truly hope wageni waalikwa hawaku wafunika wahusika maana this is sad very sad.

Diamond looked very dapper na outfit yake, we loved it for red carpet, Harmonize pia didn’t disappoint us.

Bi Sandra alivaa hii pink’sh dress ambayo hatukuielewa, au labda imekuwa accessorized vibaya, the outfit is wrong in so many ways, bado hatujajua umuhimu wa hiko ki handbag hapo kwenye red carpet ( why?)makeup na nywele zake zipo proper but for other occasions

Na viatu jamani, Whyyyy? Why?

Ambao wana at least ni Esma, Petit, Diamond mwenyewe na Harmonize wengine wange skip red carpet hasa Queen Of Messy DarleenĀ 

Katika outfit za stage Diamond killed it tumependa alivyo vaa outfits amejaribu kuwa colorful, kuvaa outfit za ki Africa

Tuambie wewe umeonaje mavazi yao?

Related posts

1 Comment

  1. ufabet911

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/red-carpet-stage-outfit-katika-uzinduzi-wa-album-ya-diamond-platnumz-a-boy-from-tandale/ […]

Comments are closed.