rep carpet is our favorite place likija swala zima la mitindo, na hasa kama ina husisha nchi za Africa kwa sababu bado hatuja kua kimitindo kwaio hiki ndio kipimo chetu cha kujua tume fikia wapi, Juzi kulika na 2016 GHANA GLITZ STYLE AWARDS Huko Ghana na kiukweli wengi walinoga japo walio haribu nao walikuwepo tuanze na tulizo zipenda
NA Hizi ni zile zilikua mmh ilikuaje?
Kukua Korsah vazi halikua baya sana lakini why kabeba pochi dogo? its a messy yaani hiko kime muangusha sana
Berla Addardey too much is going on na vazi hili yani hamna curves kabisa ni kama kavaa parachute
Gloria Osei gauni lina mambo mengi mno, we love that designer ame fikiria kuweka kitenge ila hapana kwetu sisi, na hio hair style jamani why?
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…