Tunawajua kutokana na kazi zao Rihanna ni mwanamuziki lakini Cara Delevingne ni mwanamitindo wote kwa pamoja wamekutanishwa katika movie iitwayo Valerian ambapo wote wame igiza humo ndani ukiachana na hizo sifa Rihanna na Cara ni wapenzi wa kuvaa vizuri wote tulikua tunasubiri kuona nani atavaa nini

 

Rihanna alivaa gauni jekundu lenye low cut na kuonyesha assets zake kutoka kwa bardot Giambattista Valli, ambapo alimatch na hereni, saa, strap heels na clutch nyekundu amemalizia muonekano wake na make up simple na red lipstick tunaweza kusema Rihanna aliwakilisha ule wimbo wa Lady In Red

Cara Delevingne yeye alivaa deep V black suit aka accessories na statement collar Chain, headband huku akimaliza muonekano wake na black & silver heels ambazo zilimatch perfect na suit na accessories zake

Baadhi ya watu maarufu wengine walio kuwepo na mitoko yao