Hizi tuzo ndio ulikua mwaka wake wa mwisho kufanyika hatuja zisikia tena, but all we can say hii red carpet ya hizi tuzo ilikuwa ni moja kati ya red carpet bora ambazo tunazikumbuka, kuna watu walio haribu lakini kwa wale waliopendeza walipendeza haswa. Wengi walipania, waliendana na theme ya tukio na wengi walikuwa fashion foward tunaweza kusema unaona effort ya mtu katika vazi well let’s see tulizo zipenda.
Wema Sepetu looked flwaless katika Velvet dress iliyo buniwa na Kiki Design’s make up yake ilikuwa perfectly done na nywele zimebanwa vizuri kuonyesha uso wake, Minimum accessories and she wore her smile beautifully.
Jacqueline in deep V turquoise dress, kama kuna Tip ambayo tunaweza kukupa kwenye red carpet ni ku-pop some color huku nguo yako ikiwa simple, una make a statement without kutumia nguvu nyingi. Jacqueline amerudisha nywele zake nyuma kutupa nafasi ya kuona simple make up yake na statement earrings huku akiwa amemalizia muonekano wake na a clutch.
Jacqueline Wolper ana upendo na satin toka zamani, well hapa Jacqueline alikuwa Fashion Foward maana style hii ya mshono imekiki sana mwaka jana na mwaka huu inaendelea kama kumbukumbu zetu ziko sawa hili vazi lilibuniwa na Kiki pia, we love the design, hair, makeup na accessories.
Zamaradi Mketema yeye alichagua kuvaa a crop top na ruffle skirt nyeupe, Zamaradi nae alikuwa fashion forward as kwa sasa hizi ruffle ndio zinatamba lakini tukiongelea high ponytail nayo ina tamba sasa her makeup was perfect.
Nasreen alichagua sheer skirt na top all black, she added a pop of color na masai necklase. Tunaweza kusema ingevaa mkufu mwingine angependeza zaidi lakini hii sheer skirt ilikuwa wow na ukizingatia ilikua mwaka 2015 Nasreen alisoma alama za nyakati.
Faiza Ally been all of that since 2015 hii green backless dress ilimpendeza mno japo nywele hazikuwa our favorite lakini gauni ilikuwa a killer perfect for a award night.
Martin Kadinda yeye alichagua suti na ili mfit perfectly alishine usiku huu
Penny alivaa high slit black dress well na yeye alikuwa fashion forward as kwa sasa tunaona ndio zinatamba sana
Perfect Be Perfect
Millard Ayo in black suit
Kuna walio haribu pia na hawa kuharibu ni kawaida yao maana mpaka sasa bado wana haribu hii itakuwa ipo kwenye damu
Baby Madaha hii outfit haikufit kwenye award wala club anajua mwenyewe nini alikivaa
We wont talk about her as mnajua kwamba hii ni kawaida yake.
Q Boy & his messed up looks kaanza zamani.
Picture Courtesy Of Bongo 5 & Nuru The Light
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…