Mavazi ni namna ya kuji-express namna ambavyo unajisikia, wakati kuna wengine wanapenda kuonekana kawaida, wengine extra na wengine hutumia mitindo kutoka kabisa nje ya box ( hawa ndio huitwa fashion icon)
Japo kuna namna ambavyo imezoeleka mavazi yavaliwe na ukitoka nje ya hapo walimwengu watakushangaa na hii imetokea kwa mtangazaji huyu kutoka Ghana aitwae Resego Motlhokathari ambapo yeye wakati akiwa kama host katika Fashion Without Borders alivaa hii suit ambayo nusu ni suit na nusu ni kaftan.

Tuliona wengi walishangazwa na muonekano huu na kuandika kwamba “Kama Mabibi na Mabwana was a person” Lakini presenter huyu si wa kwanza kuvaa aina hii ya suit mwaka 2018 rapper Rap Doctor au kwa jina halisi Kwame Nsiah-Apau na yeye alivaa aina hii ya suit akiwa amehudhuria G Style Awards in Ghana Nchini Ghana

Well Afromates let us know thoughts zako katika hii mionekano je ni ubunifu au hii itupite kushoto?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/resego-motlhokathari-kutoka-ghana-ame-break-internet-na-hii-half-kaftan-half-suit-outfit/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 33611 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/resego-motlhokathari-kutoka-ghana-ame-break-internet-na-hii-half-kaftan-half-suit-outfit/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 16179 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/resego-motlhokathari-kutoka-ghana-ame-break-internet-na-hii-half-kaftan-half-suit-outfit/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/resego-motlhokathari-kutoka-ghana-ame-break-internet-na-hii-half-kaftan-half-suit-outfit/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 23291 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/resego-motlhokathari-kutoka-ghana-ame-break-internet-na-hii-half-kaftan-half-suit-outfit/ […]