Last week ilikuwa ni New York Fashion Week, ambapo kulikuwa na mengi yaliyotokea lakini ikaja kuzimwa kabisa na Nicki Minaj & Cardi B Saga, kila mtu akawa anaongelea wao na kusahau kuhusu event hii, well what’s done is done hatuwezi rudisha muda nyuma. kwetu tume spot baadhi ya Fashionista’s kutoka Africa ambao wao walikuwapo katika New York Fashion Week tukaona si mbaya kama tukiongelea kuhusu mavazi waliyo yavaa huko, its New York Fashion Week everybody tunaanzaje kupotezea sasa?
- Bonang Matheba
Bonang Matheba ni South African television personality, radio host and businesswoman sisi tunapenda her style, she is extra na anapendeza, well kwake tumechagua hizi outfit mbili ambazo tuliona zinafaa kuongelewa
Outfit ya kwanza ni hii blush pink dress ambayo what she said ni kwamba she went ape shit, the dress ipo simple lakini ina very huge balloon sleeves to make a statement, ni fashion week so extranes is needed to be recognized hatuko mad na hii outfit at all kutokana na sehemu aliyoivaa, na alikuwa minimum na accessories na makeup, ambacho tunafikiri tu ni kwamba hii mikono sio mizito?
Outfit yake ya pili ni hii sequin burgundy two pieces, tumependa alivyo style hii outfit, tumependa rangi yake. The picture ni kama anasema hii mvua na traffic jam hainizuii kuslay this streets, we ain’t mad at all.
- Victoria Kimani
Mwanamuziki kutoka Kenya, Victoria Kimani na yeye alionekana katika mitaa ya New York amepost outfit nyingi lakini hizi mbili ndizo zilizo catch attention yetu
Akiwa ame attend Style Fashion Week, Victoria alivaa hizi lace up two pieces printed set, tumependa kwamba she took the risk, amependeza lakini this outfit is all over social networks almost kila mtu amevaa we would like it best kama angevaa akiwa ana perform on stage kuliko katika kuhudhuria style fashion week, she looked good though.
The statement ruffle orange dress, Victoria Kimani crossing traffic in this dress is goals, tumependa the chicness ya hii gauni, tumependa viatu na miwani, ambacho tungependa zaidi ni kama ange bana nywele na hii bag asinge ining’iniza angeshikilia vizuri mkononi ili kutoa distraction kwenye gauni na kuiacha iongee.
- Happiness Magese
Former Miss Tanzania, Happiness Magese na yeye alionekana akiwa katika mitaa ya New York ambapo yeye alihudhuria show ya naersiling akiwa amevalia high low sequin dress ambayo kwa juu ina sheer amemalizia muonekano wake na black & gold shoes, well we seen the best of her hii haikuwa ya kushtua, with the dress being plain tungependa kuona someting popin kama makeup ingekuwa bold kidogo nywele zifungwe but it not bad but its regular.
- Flaviana Matata
Flaviana yeye alivaa croptop nyeupe, high waist trouser na pumps za silver, looove this outfit for all we know ametupa that international model street style look, showing skin & being chic, as usual alikuwa na low cut yake na no makeup usoni amemaliza muonekano wake na chanel handbag, let say this is afroswagga approved
well tuambie wewe umeona nani amekuvutia na nani umeona hapana.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-african-fashionistas-outfits-katika-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-african-fashionistas-outfits-katika-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-african-fashionistas-outfits-katika-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-african-fashionistas-outfits-katika-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-african-fashionistas-outfits-katika-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-african-fashionistas-outfits-katika-new-york-fashion-week/ […]