SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Beauty Legacy Gala 2020 Red Carpet
Mitindo

Reviewing Beauty Legacy Gala 2020 Red Carpet 

harambee la The Beauty Legacy Tanzania 2020 lililowajumuisha malkia walioshinda Taji la urembo Tanzania lenye lengo la kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia watoto na wamama wenye uhitaji maalumu limefanyika December 12 jijini Dar es Salaam.

Kulikuwa na red carpet ambapo sisi tumeamua kuiita expensive carpet, maana watu maarufu mbalimbali na warembo tofauti tofauti wali hudhuria na waliunyuka hasa kwenye upande wa mavazi na tupo hapa kufanya review ya nani alivaa nini,

Hapinness Magese alivalia gauni nyeupe kutoka kwa mbunifu Mac Couture, the dress ilimkaa perfect na mwili wake, tumependa details za kifuani she just looked clean and rich. Tunadhani wabunifu wetu wakiendelea kuwavalisha watu maarufu vyema hivi basi tutafika mbali, the finishing, the design the fit was just spectacular.

Stylist Noel Ndale alikuwa in a sharp black & white suit, tumependa huu muonekano kutoka kwake pia.

Jacqueline Mengi yeye alikuwa in floral sleeveless mermaid dress, as usual she looked classy japo tulitegemea more kutoka kwake lakini pia hakuwa katika list ya ambao hawakupendeza.

Nancy Sumari dripped in gold cold shoulder dress with her low cut self, one thing kuhusu Nancy ni kwamba huwa ni silent slayer huwa hana mambo mengi lakini anavaa na kupendeza.

Mwanamitindo Miriam Odemba alivaa gauni kutoka kwa mbunifu @fouadsarkisofficial , hii gauni ina touch’s za kama kipepeo tumesha iona kwenye runway ya mbunifu MNM, tulipooiita hii red carpet – expensive carpet hatukuwa tunatania maana hii dress ya Miriam inauzwa USD 1,100 kwenye website ya MNM ambapo ni sawa na Tsh 2,551,541.30/ za ki-Tanzania tumejaribu kuitafuta kwa Fouad Sarkis kujua thamani yake tumekosa.

Julitha Kabete stole the show In @donamatoshiofficialย  yellow dress, as usual Julitha huwa hafanyi mchezo na mavazi, she looked sassy, she just graced the red carpet like a queen.

Miss Curaรงao Universe 2017 & Miss Swimsuit Intl Colombia 2019 Nashaira Belisa na yeye alihudhuria katika harambee hii ambapo yeye alivaa corset dress yenye high slit again this red carpet kila mtu aliye hudhuria alikuwa anajua anaenda wapi.

Shadee yeye alikuwa host wa red carpet na alikuwa kwenye red sleeveless dress, tunaweza kusema kwenye hii event watu wali-make statement na rangi na size ya gauni, yaani hawakuwa na mambo mengi they just let the dresses do the talking.

Lilian kamazia in Wedding Lydya dress

wakati Lissah Zagar yeye alikuwa in high low embellished dress

Related posts