SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Celebrities Outfits On Eid
Mitindo

Reviewing Celebrities Outfits On Eid 

Baada ya ndugu zetu waislam kumaliza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, huwa washerehekea Eid siku hii wengi huwa wanavaa mavazi mapya, kupika vyakula mbalimbali na kutoka na familia na marafiki.

Tumeona watu maarufu mbalimbali ambao walishare mionekano yao katika sikukuu/holiday hii ambapo kwa wanawake wengi walionekana kuvutiwa na Indian theme huku wanaume wakiwa wamevalia Kanzu.

Tumewaona watu kama Paulah, Lulu Diva, Fahyvanny wakiwa wamevalia mavazi ya Kihindi, Paula alivalia nguo nyekundu, Lulu Diva yeye alikuwa in pink wakati Fahyma akiwa kwenye rangi ya kijani. Kila mmoja wao alipendeza kwa namna yake.

Wengine ambao wao waliamua kuwa ki-tofauti ni Batuli, Wema Sepetu na Mwanakheri.

Kwa wanaume tuliwaona Hemedy Phd, Ali Kiba pamoja na Ommy Dimpoz

Lakini pia walikuwepo ambao waliamua kwenda mrama kabisa na mavazi yao kutokuwa na direction kama Nandy, ambae hatukujua hili vazi lilikuwa inspired, lakini pia Diamond Platnumz kuvaa suruali ya Pepe Kale

Well hivyo ndivyo mavazi ya watu maarufu mbalimbali walipo sheherekea sikukuu ya Eid, tupe maoni yako hapo chini.

Related posts

6 Comments

  1. Lyophilized Goldmember Magic Mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-celebrities-outfits-on-eid/ […]

  2. buy sig sauer gun

    … [Trackback]

    […] There you can find 19695 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-celebrities-outfits-on-eid/ […]

  3. mp3juice

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-celebrities-outfits-on-eid/ […]

  4. Where to order Albino penis Envy New South Wales.

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-celebrities-outfits-on-eid/ […]

  5. Ufabet

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-celebrities-outfits-on-eid/ […]

  6. Web Hosting

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-celebrities-outfits-on-eid/ […]

Comments are closed.