SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Diva Loveness Malinji Wedding Reception Outfits
Mitindo

Reviewing Diva Loveness Malinji Wedding Reception Outfits 

Mtangazaji Diva Loveness Love au Diva The Bawse amefunga ndoa na mpenzi wake wa week mbili ( according to them walianza mahusiano ndani ya week mbili wakaamua kufunga ndoa) bwana Abdulrazak Salum, Juzi walisheherekea ndoa yao kwa kufanya reception pale Hyatt.

Well kama ilivyokawaida kwetu tunawaletea review ya walivaa nini na je ni clap or slap?

Diva alivaa pearls ball gown kutoka kwa Wedding Lydia, tumependa gauni, headpiece ilikuwa matata the fact that nyele ili match na kiatu pamoja na maua was perfect, amemalizia muonekano wake na perfect makeup.

Bwana harusi yeye alivaa cream suit, white shirt akamaliza na black bow tie pamoja na viatu vyeusi, tunaweza kusema mionekano yao ilikuwa mizuri kabisa.

Kuna video imeonekana mitandaoni Diva akiwa amevalia fur sandals nyeupe tunadhani vile viatu vilikuwa extra’s kwaajili ya akichoka heels but tungependa kama ingekuwa sandal fulani classic ambayo ingeendana na tukio all in all ndoa njema kwao.

Bride: @divatheebawse
Grooms @sheikh_abdulrazak_salum
Photography: @20r_touchez
Assistant : @20r_junior
Dress: @wedding_lydia
Makeup: @sada_make_up
Flowers 💐 : @megyflowers
#selflove#weddingseason1d

Related posts

3 Comments

 1. click to read

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-diva-loveness-malinji-wedding-reception-outfits/ […]

 2. magic mushroom chocolate bar for sale​

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-diva-loveness-malinji-wedding-reception-outfits/ […]

 3. penis envy mushrooms

  … [Trackback]

  […] Here you can find 18432 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-diva-loveness-malinji-wedding-reception-outfits/ […]

Comments are closed.