Ali Kiba aliwa-surprise fans wake kwa kuachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Dodo”, katika video hii mwanadada Hamisa Mobetto ametumika kama video vixen.
Kabla hatuaenda kwenye review yetu kwanza tuseme tu hongera kwa Ali Kiba na team yake kwa kuona umuhimu wa kutumia stylist’s, makeup artist na hair stylist lakini kama haitoshi kuwapa credit katika kazi yao. We stan when people give credit when its due.
Now lets get to the review je hawa wardrobe stylist, makeup artist na hair stylist walifanya vyema?
Tuanze na makeup na hair – makeup artist na hair stylist walifanya kazi nzuri sana hasa kwa upande wa Hamisa na wengine walioshiriki katika kukamilisha video hii ukiangalia vyema utaona kila mtu ametengenezwa nywele lakini pia wamepakwa makeup zinazoendana na shughuli na vazi lao. Tofauti na video nyingi ambapo huwasahau wengine na kutilia mkazo zaidi wahusika wakuu, video hii imempa kila mmoja a lewk they deserve.
Kwa upande wa Ali Kiba makeup yake haiku sit- well with us, kwa maana haikuwa inaendana na ngozi yake lakini pia ilimfanya uso wake uonekane mpana kuliko ambavyo tumezoea kuona uso wa Ali Kiba, tulishawahi kuongelea hili swala la makeup artist kuangalia namna ya upakaji wa makeup kwa wanaume pia maana hii si mara ya kwanza lakini pia si kwa Ali tu bali tumeshaona kwa baadhi ya wasanii wakiume mbali mbali.
The video ilikuwa na outfit tatu kutoka kwa wahusika wakuu, kwa upande wa outfit wamejitahidi sana, kuanzia quality, color co-ordination , style zipo on point kabisa. Kwa sababu wimbo una maudhui ya harusi styles zili-base zaidi katika maudhi ya wimbo ambapo tuliona kuna syle ambapo Kiba alivaa white suit ina gold na hamisa akavalishwa gauni ya njano, pia tulimuona Hamisa akiwa amevalia gold ball gown huku Kiba akiwa amevalia nguo nyeupe na maroon kama mfalme na kuna sehemu ambapo walivaa nyeusi na gold. kama ambavyo tulisema color co-ordination ilikuwa on point kabisa.
Ambacho tumeona kipo off katika video hii ni culture mixing tumeona wametumia culture mixing nyingi mpaka hatukujua wapi tunaelekea, kuna Arabic, tumeona roman prince, tumeona great Gatsby its just so much going on.
Well afromates unaweza kuangalia video hapo chini na tupe maoni yako
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 34429 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-dodo-music-video-by-ali-kiba/ […]