SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Outfits From G Nako Wedding Ceremonies
Mitindo

Reviewing Outfits From G Nako Wedding Ceremonies 

Mwanamuziki kutoka Kundi La Weusi, George Sixtus Mdemu au wengi tunamfahamua kama G Nako Warawara weekend iliyopita alifunga ndoa na mpenziwe Yasinta. Hongera kwa G Nako na Yasinta.

Kama kawaida tunakuletea nini walivaa na kutoka kwa nani, sherehe zilikuwa tatu ambapo ni engagement, sendoff na ndoa yenyewe.

Siku ya engagement day, lets say hii engagement ilikuwa our favorite. The simplicity yaani hawakuvaa kukomoa kama ambavyo wengi wanafanya, walikuwa tu normal G Nako alivaa white shirt na gray trouser wakati yasinta alikuwa in green co-ord sets.

Siku ya send off Yasinta alivaa cut out blue embellished dress kutoka kwa mbunifu Mac Couture, tumependa design ya nguo, makeup, hair zilikuwa neat ambacho tuliona kipo off ni fitting ya nguo kifuani alibanwa sana. G Nako yeye alivaa suit ya blue, white shirt akamalizia na black shoes.

Siku ya harusi ilikuwa black white & Green Affair, ambapo Groomsmen walivaa white outfits na black shoes, oh we love this so fresh so clean, wakati kwa bridesmaids walivaa green dresses.

Wakati Yasinta alivaa Corset dress kutoka kwa mbunifu Kyamirwa, G Nako alivaa black suit kutoka kwa @afribongotz 

Well Afromates harusi tulikuwa nayo na ikawe yenye kheri kwao.

Related posts

3 Comments

 1. Ufabet

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-g-nako-outfits-from-his-wedding-ceremonies/ […]

 2. weed delivery toronto

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-g-nako-outfits-from-his-wedding-ceremonies/ […]

 3. motorsport

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-g-nako-outfits-from-his-wedding-ceremonies/ […]

Comments are closed.