SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Haji Manara Outfit On His Wedding
Mitindo

Reviewing Haji Manara Outfit On His Wedding 

Msemaji wa Simba bw. Haji Sunday Manara amefunga ndoa week iliyopita, alikuwa na sherehe ya kufunga ndoa na ukumbini, ambapo tumeona amevaa outfit nne yeye pamoja na mkewe na tupo hapa ku-review outfits zao.

Siku ya ndoa haji alivaa kanzu nyeupe yenye details za gold na kilemba na mkanda wa blue, huku mkewe akiwa in gold na pink dress.. tumependa nguo ya mwanamke alipendeza sana huku Haji tungependa hii blue ingekaa pembeni kidogo na wangempa the gold touch’s.

Ambapo outfit nyingine ambayo tuliwaona nayo hii, mwanamke alivaa pink dress yenye touch’s za gold safari hii alivaa dark pink wakati mara ya kwanza ilikuwa ni blush pink, Haji alivaa two pieces suruali nyekundu, nusu kanzu ya blue aliyo-match na kofia kamalizia na viatu vya gold ( kwa mfano suruali wangeifanya iwe ya gold au nyeupe wangepungukiwa nini?) all in all walipendeza.

Outfit ya tatu ilikuwa hii ambapo hizi mbili ni our favorite, Haji looked sharp in Ki2pe suit, the color ime mfanya a-pop akiwa amematch na nguo ya mkewe. Don’t they look lovely?

Ya mwisho ilikuwa ni hii black and white outfit, This is our favorite the dress was wow, Haji suit color imeendana na color yake he looked dapper.

Well Hongera kwa Haji Manara kwa kuvuta jiko & Afromates tuachie maoni yako ni outfit gani ulipenda zaidi?

Related posts