Its Capricorn season kwasasa watu walio zaliwa January wanasherekea kumbukumbu za siku za kuzaliwa kwao na mmoja kati yao ni Haji Sunday Manara a.k.a Dela Boss au El Buggati. Haji amefanya sherehe yake katika ukumbi uliopo Mlimani city, tupo hapa kukupa review ya nani alivaa nini
Tuanze na muhusika mwenyewe Haji S Manara alivaa suit mbili moja ni navy blue yenye touch ya black sequin akamalizia na blue oxford shoes wakati look ya pili ilikuwa ni white 3 pieces suit akamalizia muonekano wake na kofia na white kicks we all know Manara huwa yukogo serious kwenye mionekano yake, suit zote mbili amevalishwa na J.M collection.


Lakini pia kulikuwa na wageni waalikwa mbalimbali walio jitokeza kutoa support yao akiwepo Wema Sepetu na Aunty Ezekiel, Wema alivalia gold ball dress ya cold shoulders akamalizia muonekano wake na nude heels well the hair style is giving Shivo na viatu tumeona amevaa vidogo, While Auntie alivalia Red dress let’s say tumezoea hizi dress kwasasa alipendeza lakini hakushtua

Mc Garab alipendeza sasa na hii black & white suit kutoka kwa Gara Best Look, huyu kaka inatakiwa afungue chuo awe anawapa wengine tips za mavazi like he never miss, a sniper

Diamond Platnumz in J.M collection suit, tumemuona nazo mara nyingi labda ndio signature style yake kwasasa ilikuwa ni blue & touch’s za black suruali ni aina ya bwanga tumeona imezidi kuwa ndefu imeondoa ule u-smart wa muonekano lakini what with the mzee Ojuang kofia jamani was it necessary?

Chuchu Hans, chuchu alikuwa na all white look kuna mengi tungependa kuongea kuhusu hii look ila what we can say is angechagua moja kubana nywele au kuondoa hii organza kimono ya juu kwasababu all together they look heavy

Gigy Money in Michael X Williams dress, gauni ni nzuri lakini hii hair kidogo inatupa mushkeri ni installment mbaya au picha sio nzuri

Irene Paul ni mtu mwingine ambae huwa anajuaga avae nini na wapi this is simple and elegant

well tupe maoni yako ni juu ya mionekano yao hapo juu
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…