Utalii wa ndani unaonekana kukua siku mpaka siku, tunaona watu maarufu pamoja na wa Tanzania wakawaida wakiwa wanatembelea mbuga za wanyama na kupiga picha zinazo vutia wakiwa huko, leo tunaangalia watu maarufu zaidi je walivaa nini na je walipendeza au lah?
Tuanze na Hamisa Mobetto as we all Hamisa huwa ana take notes kabla hajafanya jambo lake anahakikisha anaangalia na kuzingatia mambo muhimu, tumependa photoshoot zake kwanza alivaa safari outfits zenye rangi ya nude na boots.
Vazi la pili alivaa kitenge two pieces that gave us mama Africa owning the natures… tumependa hii photoshoot


Nandy X Billnass, newly wedds wedds nao walifanya photoshoot yao kabla ya ndao huko mbugani ikiwa Nandy mjamzito, alivaa a sheer green dress akamalizia muonekano wake na polkadots stockings akamalizia na boots wakati Billnass alivaa green & brown safari fit ambazo hazikunyooshwa


Linah Sanga, Linah yeye alikua in a all black outfit, black cargo pants & black pullneck tunaweza kusema you can never go wrong with black kwa upande wa Kajala hakuwa na vitu vingi zaidi ya robe ya kulalia na comedian Gladness yeye alikuwa in white croptop, short pants na boots



well tuambie photoshoot ipi imekuvutia zaidi?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-hamisa-mobetto-kajala-nandy-national-park-outfit-photoshoots/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-hamisa-mobetto-kajala-nandy-national-park-outfit-photoshoots/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-hamisa-mobetto-kajala-nandy-national-park-outfit-photoshoots/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-hamisa-mobetto-kajala-nandy-national-park-outfit-photoshoots/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 15174 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-hamisa-mobetto-kajala-nandy-national-park-outfit-photoshoots/ […]