SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Hamisa Mobetto,Zuchu & Phina Looks At Soundcity Africa Awards
Mitindo

Reviewing Hamisa Mobetto,Zuchu & Phina Looks At Soundcity Africa Awards 

Jumamosi iliyopita kulikuwa na Tuzo za Sound City Africa huko Nigeria ambapo watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika Tuzo hizo huku Tanzania tukiwakilishwa na Hamisa Mobetto, Phina pamoja na Zuchu.

Kama ilivyo ada yetu tuliangalia nani amevaa nini na je tuliwakilishwa vyema au tia maji tia maji,

Tukianza na Hamisa, Hamisa alivalia hii mermaid dress, ambayo kwetu tumeona ame play safe yaani hakushtua wala hakuboa alikuwa tu Okay, tulishamuona na aina hii ya dresses toka miaka ya nyuma so hakikuwa kitu kigeni lakini pia hatusemi alizingua kama ambavyo tumesema hapo juu alikuwa okay.

Mwingine ambae alikuwepo kwenye event hii ni Phina, mamaa wa upo nyonyo upo titi? Phina anajulikana kwa unique wake linapokuja swala la mavazi always anapenda ku-stand out na kuwa wa tofauti katika event hii tumemuona amevalia yellow outfit ambayo ilikuwa na maua maua tunaweza kusema alipendeza na kuonekana wa kipekee ambacho kwetu tuliona kiko off ni culture aliyovaa pamoja na hair style.
Zuchu yeye alikuwa amevalia over sized white suit, mwenyewe alishasema anapenda hii mikato which is totally fine with us ila akumbuke pia kuna sehemu ni sawa kubadilisha muonekano like ilikuwa ni event kubwa angevaa something nice & fitting hapa kaonekana kama kavaa suit ya Peter Msechu tukumbuke Zuchu ni petit akivaa nguo kubwa zinamvaa & she got nice body we wonder why hiding it? Au hata kama hii suit basi ingekuwa styled better kama kuvalia brarette ndani akafungua vifungo vya suit sababu the way imekuwa styled imevaa tunadhani angeonyesha skin more ingependeza zaidi & the shoes and gloves we’re off.
Anyways sisi yetu ni hayo tuambie wewe umependa ipi na ipi umeona hapana?

Related posts

3 Comments

  1. แทงบอล betclic88

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-hamisa-mobettozuchu-phina-looks-at-soundcity-africa-awards/ […]

  2. 누누티비

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-hamisa-mobettozuchu-phina-looks-at-soundcity-africa-awards/ […]

  3. สมัครบาคาร่า lsm99

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-hamisa-mobettozuchu-phina-looks-at-soundcity-africa-awards/ […]

Comments are closed.