Irada Mahadhi ni moja kati ya hijabista wanao fanya vizuri hapa Tanzania, ana unique styles ambazo kila mtu akimuona anavutiwa nae, ukiachana kuwa hijabista Irada ameingia kuwa mbunifu wa mavazi ya stara lakini pia ni hijab stylist (way to go girl). Well leo tuna review collection yake ya kwanza kubuni na kuipandisha katika stara fashion week iliyofanyika mwaka huu.
Collection ya Irada ilikuwa nzuri modesty na amemlenga kila mtu ikiwa kama unapenda kuvaa magauni yapo, kama unapenda suruali zipo, skirts, etc kila kitu kipo kwake. Labda kutokana na kuwa mzuri katika mavazi na kujua nini kipo on trend duniani Irada amefanya vizuri sana katika collection hii ukizingatia ndio collection yake ya kwanza we can’t wait kuona zijazo
Na hiaya ndio mavazi tuliyo yapenda kutoka kwake
Pallazo – ukiongelea stara ni yale mavazi yasiyo bana mwili, Irada amebunidi suruali hizi ambazo zinaachia mwili na kukufanya uwe comfortable wakati una tembea bila kionyesha au kubanwa mwili wako, tumependa rangi, ubunifu ambao kaongezea kama hivyo vifungo lakini pia rangi za pallazo hizi, unaweza kuvaa na kila aina ya rangi nyingine na kuzi – style mara nyingi na sehemu nyingi uwezavyo.
Tumependa pia hii corporate dress ambayo imekaa kama over all, tumependa pia alivyo buni na shirt ya ndani ya mikono mirefu, inaweza kuwa corporate lakini pia unaweza kuvaa ukiwa na mitoko ya iftar
Tumependa pia hii gauni, we love the material ni kama abaya flani hivi very stylish & neat, finishing yake ni nzuri sana.
alikuwa na prints katika collection yake kama hizi two pieces mix & match, zenyewe zinaweza kuvalika mara nyingi na namna tofauti tofauti. Unaweza kuvaa suruali peke yake na top peke yake lakini pia sio tu kwa wavaaji hijab hata mtu ambae huvai hijab unaweza kuvaa mavazi ya Irada.
We would totally rock this dress on iftar gathering’s, the colors are perfect.
well tunaweza kusema kwa collection ya kwanza Irada amejitahidi mno, tumeona vitu vya tofauti, tumeona ubunifu mpya tumependa tunacho weza kusema ni aendelee na kasi hii na zaidi katika collection zake zijazo lakini pia kujaribu kuwa push models ku-model mavazi yake vizuri yaonekane vizuri mnaweza kum-follow hapa @iradastyleofficial
Related posts
11 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 41008 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 29429 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-irada-mahadhi-2018-collection/ […]