SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Joel Lwaga Outfis On His Wedding
Mitindo

Reviewing Joel Lwaga Outfis On His Wedding 

Mwanamuziki wa Injili kutoka Tanzania Joel Lwaga amefunga ndoa week iliyopita, ambapo alikuwa na sherehe mbili ya send off na ndoa. Hongera kwa Joel na mkewe lakini pia tusinge acha ipite bila kufanya review ya outfit zao katika sherehe hizi mbili

Tuanze na sendoff ambapo outfit zao zilileta gumzo kwenye mitandao ya kijamii, kutokana na makosa mbalimbali ambayo yalionekana na tupo hapa kuya highlight

  • Viatu vya Joel vilikuwa a miss sio tu vidogo bali pia havikuendana na outfit
  • Kofia ilikuwa un-necessary
  • Layering ya koti na alichovaa ndani ya coat pia ilikuwa a very messy situation
  • Kwa mke the crown na namna ambavyo nywele zimekuwa styled ilikuwa off
  • the extra black tail pia haikuwa na umuhimu

Kuhusu kuvaa nguo nyeusi ni kawaida na ni namna nzuri ya kuwa tofauti kama wangekuwa styled well basi wangependeza mno

Siku ya harusi Joel alikuwa on point the black suit ime-mfit well, viatu on point, nywele kila kitu kilikuwa sawa tunaweza kusema bwana harusi tulikuwa nae.

Kwa upande wa bibi harusi alipendeza sana in her white lace dress, hair ilikua on point, ambacho kilikuwa a miss kwetu ni gauni ili m’bana sana lakini pia chini kulikuwa na pindo hatujajua hili pindo liliwekwa last minute au liliwekwa kwa lengo gani limeondoa kabisa muonekano mzuri wa hii gauni.

All in all hongera kwao na ikawe ndoa ya kheri.

Related posts