SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Jokate Mwegelo’s Birthday Outfit
Mitindo

Reviewing Jokate Mwegelo’s Birthday Outfit 

Aliyekuwa mwanamitindo na sasa ni mwanasiasa, Jokate Mwegelo juzi alisheherekea siku yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 35, Jokate alifanya photoshoot kwaajili ya siku yake hii muhimu na sisi tupo hapa kufanya review ya muonekano wake katika photoshoot hio.

alivaa suit ambayo ina flower detail begani, trousers ina mipasuo pembeni akamaliza na pony tail hair style, tunadhani hii nguo imemvaa instead ya yeye kuivaa na mambo mengi yanaendelea kwa wakati mmoja. Na shirt aliyovalia ndani ilikuwa off.

kwetu tunadhani asingevaa the shirt ndani akabana nywele na suruali ingemtosha ingefaa zaidi au wangeiacha iwe blazer dress with the same details without suruali chini well happy birthday Jojo tunatumaini next year utavyema zaidi

Related posts