SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing King Of Boys Movie Premier Red Carpet ” The Gangster Royalty Theme”
Mitindo

Reviewing King Of Boys Movie Premier Red Carpet ” The Gangster Royalty Theme” 

Nigerian’s did it again, baada ya kuona walivyo slay katika Ocean 8 Movie premier na theme yao ya Met Gala, safari hii wameenda kwenye premier ya movie kutoka Nigeria iitwayo King Of Boys na theme ya red carpet ya movie hii ilikuwa Gangster Royalty well lets see nani alivaa nini na kama waliendana na theme au lah, theme ilikuwa na combination mbili ambayo ni Gangster na Royal inabidi uweze kuchanganya hivi vitu viwili kupata hii theme kwetu tungeiita a Katt Williams Theme, Cookie Lyon au hata Lucious Lyon Theme  if you know you know.

Muigizaji Ini Dima Okojie show us how to be gangster yet royalty in Fablane By Derin Pink dress number, kama kuna kitu kimoja ambacho Gangster royalty wanacho ni kuwa extra na wanapenda kuonekana expensive, Ini did that, Kuanzia design ya nguo,rangi ni statement the head piece, viatu na hio fimbo (scepter) she was on point.

 

Actress Adesua Etomi-Wellington went all dripped in gold caped jumpsuit, gold shoe and dropped earrings, we love this look, body snatched she added that extra sassy na hio cape nyuma ambayo ina fur mikononi,love it.

Tiannah’s Empire fashion mogul & stylist she slayed this theme we see Cookie Lyon in this outfit, amevaa suit ambayo coat lake lina sheer kwa mbele, sexy boss moves,amemalizia na pumps nyeusi, a long fur black coat na hat na miwani, Tiannah did her home work. She just went all in. 

Host & Entrepreneur Osas Ighodaro Ajibade gave us the sexy royalty & gangster feeling in this white dress ambapo amemalizia muonekano wake na shawl, dropped earrings na finger weaves her, Yassss not all gangster wanavaa suruali au kuwa that bold wengine they just sexie.

Tunamuita peace disturber au Yoruba Demon, Tv host Ebuka yeye alifika akiwa in blue number na kifimbo well Ebuka yeye ameamua kuwa a gangster royalty in Nigerian style, kama ni mpenzi wa movie za ki Nigeria utakuwa unajua wale ma gangster lakini wanapesa ndio huwa wanavaa hivi he was on the theme & slayed it.

Stylist Noble Igwe yeye aliamua kuvaa suit ya rangi ya kijani, amemaliza na army green coat na beret hat na miwani.

Kuna wengine walikuwa full gangster na wengine too royalty while the theme was gangster royalty, kwetu tuliona japo walikuwa kwenye theme but it was half theme & that doesn’t count uwe umependeza au lah ulikuwa half theme

We see royalty na hakuna gangster feeling hapa

Lami Phillips-Gbadamosi the theme was gangster royalty sis na sio a movie character theme like where are you going with the batman outfit? where?

Related posts

2 Comments

  1. Peach Wax Infused Pre-Roll 1.2g

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-king-of-boys-movie-premier-red-carpet-the-gangster-royalty-theme/ […]

  2. check my reference

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-king-of-boys-movie-premier-red-carpet-the-gangster-royalty-theme/ […]

Comments are closed.