SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Linah’s Look Kwenye Kitchen Party Ya Nandy
Mitindo

Reviewing Linah’s Look Kwenye Kitchen Party Ya Nandy 

Mwanamuziki Linah Sanga alikuwa moja ya watu maarufu waliohudhuria katika kitchen party ya Nandy, Linah alivaa hii nguo kutoka kwa mbunifu Allie Clothings. No shade to Allie maana tunajua kazi zake na yeye ndie aliyemvalisha Ammy Gal Tz, but this look kwa Linah was confusing.

Hatujui kwamba ni ilikuwa a last minute call mkaamua tu kumvalisha hii nguo but this was not it, sote tunajua ilikupata look kuna vitu kadhaa unaangalia na kuzingatia hii ina include mahali uendapo, tunataka kujua why Linah alivaa a stage outfit kwenye kitchen party, sehemu ambapo anaenda kukutana na watu tofauti pamoja na ndugu za Nandy. Okay labda ni wazungu wanaelewa and all but this look was a no kwenye hii occassion.

Tunatamani hii material inaning’inia chini ingewekwa kwenye kifua instead, sisi sio wabunifu ila hapa mbele alot was going on tunaweza kuona the struggle ya kutaka kuficha sehemu kama kifua, tumbo na hiki kilicho ning’inia mbele tunadhani hii look ilitengenezwa wakiwa na haraka.

And tunajua Allie ameshafanya kazi nyingi na Linah ni bora tungerudia kuvaa zile ambazo alivaa kwenye photoshoot may be angekuwa out of theme kuliko kuwa kwenye theme lakini kuwa mentioned kwenye worst look of the event next time kama mbunifu Allie makesure unalinda jina lako.

The makeup and hair was on point though.

Related posts

2 Comments

  1. view it

    … [Trackback]

    […] Here you will find 26478 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-linahs-look-kwenye-kitchen-party-ya-nandy/ […]

  2. cliquez pour plus

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-linahs-look-kwenye-kitchen-party-ya-nandy/ […]

Comments are closed.