SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Looks From Behind The Gram Reality Show Launch
Mitindo

Reviewing Looks From Behind The Gram Reality Show Launch 

Kajala na Paula wamekuja na reality show yao ambayo imepiwa jina la “Behind The Gram” reality show hii itaonyesha maisha yao behind na social media. Walizindua reality show yao siku ya Jumatano, Hyatt Regency na tupo hapa ku-review mionekano yao.

Paula alivalishwa na Rackel Stylish, alivaa ball gawn ya pink na silver huku makeup akiwa amefanyiwa na makeup by Eddie, hii nguo ilikuwa ya red carpet ndani alikuwa na gauni nyingine fupi, well gauni si baya hongera kwa mbunifu

ambacho tunatatizo nacho ni kwamba the dress is too heavy kwa event, Paula bado kijana ana umbo zuri la kuvaa vingi zaidi ya hizi ball gown’s, juu gauni mtindo mzuti tatizo tulilokuwa nalo ni chini labda ingekuwa ni nguo ya kubana ingekuwa vyema zaidi.

Kajala nae alivalishwa na Rachel Stylish, gauni ilikuwa white off shoulder dress ambayo inaonyesha pembeni, the design ni nzuri haipo na kelele na sio heavy. ambacho kimeonekana ni rangi ya gauni, the color is giving wedding, ama reception dress na sio red carpet dress ingekuwa kwa rangi tofauti kama red tunadhani inge stand out zaidi.

Wageni waalikwa Zamaradi na mumewe walipendeza perfect fit for a reality show launch, nguo sio heavy na wala sio casual sana wame balance.

Phina in red outfit, hii nayo ni nzuri, hajawa too much wala too simple, chic and event appropiate.

Hawa wa mwisho tunakuachia wewe ndugu msomaji utupe maoni yako je mionekano yao umeipenda au lah? ni waigizaji kutoka katika Tamthilia ya Jua Kali

Related posts