Didah ameolewa week kadhaa nyuma, lakini reception yake ilikuwa jana. Sherehe ilifanyika mlimani city na sale ya siku hii ilikuwa royal blue na watu waliitendea haki haswa japo kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani. Well tuanze na maharusi.
Bwana na bibi harusi walivalia white, Bibi harusi alivaa white strapless Cinderella gown, akiwa amepaka makeup yake nzuri na low bun hair style, shemeji yetu alivalia black & white tuxedo walipendeza sana.
Wageni waalikwa ambao walipendeza sana sana na kwenda na theme ni Ammy, Alliyah, Khadija Kopa hats off kwa mama hapa maana alijua kucheza na colors mara nyingi huwa tunasema huitaji kuvaa full color kama sale unaweza kumix & mama did that, Esma pia alipendeza mno
Kwa wanaume alikuwepo Rich Mitindo, Zembwela na Ricardo Momo
Kama ambavyotulisema kwenye msafara wa mamba hakukosi kenge, basi walikuepo hawa wawili Irene Uwoya ambae alikuwa off theme na dress yake ya gold pamoja na Tessy ambae alikuwa kwenye theme lakini off fashion
Well tuwatakie maharusi ndoa njema
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 89753 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-didah-saibus-reception/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-didah-saibus-reception/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-didah-saibus-reception/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-didah-saibus-reception/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 23749 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-didah-saibus-reception/ […]