SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Looks From Drama Queens
Mitindo

Reviewing Looks From Drama Queens 

Siku ya Jumapili iliyopita kulikuwa na sherehe ya moja ya member ya group inayojiita drama queen ( Irene Uwoya, Wema Sepetu, Kajala Masanja, Aunty Ezekiel, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael). Sherehe hii ilikuwa ya mtoto wa Irene Uwoya na wenzie walienda ku-show support, walichagua Nigerian Theme ( the most comfortable theme to use) na as usual hii theme huwa tunaitendea haki. Well lets see nani alivaa nini,

Tuanze na mwenye shughuli ambae ni Irene Uwoya, Tumependa the look, ambavyo ame-accessorize na kuubeba muonekano mzima, makeup on point, perfect shoe choice. Clean and classy.

Wema Sepetu looked like a doll in Martin Kadinda Dress, tumependa vazi lake, hereni na viatu vilikuwa perfect a clutch imetuangusha tunatamani angebeba ya silver na sio ya kuning’inia, makeup ilikuwa on point pia.

Elizabeth Michael In Elisha Red Label, na yeye alipendeza in showing legs and creavage, makeup and shoe choice ilikuwa on point.

Kajala In Martin Kadinda, Kajala huwa haonekani sana kwenye shughuli na mionekano yake mara nyingi huwa kawaida, tumependa hii look kutoka kwake, namna ambavyo nguo ime m-fit lakini pia how she went minimum kwenye accessories.

Na wa mwisho ni Wolper kwamaelezo yake ni kwamba fundi alizingua ikabidi avae tu hii, kwake tunakuachia wewe mate tuambie je ni clap or slap

Tuambie ni nani amekuvutia zaidi na vazi lake?

Related posts

7 Comments

 1. Cambodian Magic Mushrooms shop online

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-drama-queens/ […]

 2. Gelato 33 3.5g Flower

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-drama-queens/ […]

 3. image source

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-drama-queens/ […]

 4. ephedra sinica tea for sale

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-drama-queens/ […]

 5. cartel oil co carts

  … [Trackback]

  […] Here you can find 50342 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-drama-queens/ […]

 6. https://www.postandcourier.com/sponsored/phenq-reviews-does-this-diet-pill-actually-work/article_1cdbfb1a-395f-11ee-9d97-33c51303c959.html

  … [Trackback]

  […] Here you will find 69173 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-drama-queens/ […]

 7. internet

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-looks-from-drama-queens/ […]

Comments are closed.