SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Looks From Last Week
Mitindo

Reviewing Looks From Last Week 

Imekuwa muda kidogo sinse tufanye review za looks za watu maarufu weekly na hii ni kutokana na kwamba mara nyingi looks zinakuwa so/so, kama haijajirudia basi ni za kawaida sana well this week imekuwa tofauti kidogo as kila tunapopita tumekutana na looks zinazovutia kwa namna moja au nyingine tukaona si vibaya tukizileta na wengine mjionee kama ni mishono muige.

Tukianza na Fahyma pamoja na Zuchu ambao walikuwa wedding guest kwenye harusi ya Don Fumbwe na Juju, wote walivalia embellished black dresses wakati Zuchu akiwa amevalia corset black dress yenye tail pembeni ikiwa ina urembo mzuri kabisa maeneo ya kifuani na mikononi, tunatamani Zuchu ajue hii ndio mikato inayomfaa no hatusemi kwamba avae magauni ya kuburuza ila tunasema anahitaji ku-upgrade kabati lake kwa mavazi yanayovutia na kueleweka kama haya,πŸ’„Β @emeraldglowsπŸ‘—Β @mahaumesπŸ‘©β€πŸ¦°Β @wigs_by_vecyπŸ’‡β€β™€οΈΒ @khaleesi_beautyparlour
πŸ“ΈΒ @blaq._

Fahyma nae alikuwa amevalia black dress ambayo ilikuwa na silver applique’s huku chini ikiwa na mshazali ndani yake alivalia stockings nyeusi amemalizia na pumps nyeusi, the whole look screams stylish & we took our time to create this yaani mbunifu alichukua muda wake kubuni, kushona na ku-style kuna looks ukiona unaona tu hii ilikuwa rushed na zile ukiona unajua hii walikaa waka discuss wakafaya na fittings kujua nini kitoke nini kibaki. ndio hii ya Fahyma sasa.
Dressed @nellsoamtee Makeup @glorylasway Hair @certified_perucaz πŸ“Έ @sakshed
Shoes @fahymalovestyles Nails @leestoretz

Wengine ambao tumewaona week hii ni Jokate Mwegelo ambae na yeye alikuwa mgeni mualikwa kwenye harusi akiwa amevalia orange peplum dress, tumemuona Muna Love akiwa amevalia purple corset dress kutoka kwa Salehe Hamimu

Well tuambie look ya nani imekuvutia zaidi kati ya hawa wanne?

Related posts