SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Looks From Wema Sepetu’s Birthday Party
Mitindo

Reviewing Looks From Wema Sepetu’s Birthday Party 

Kunapotokea event kubwa huwa macho yetu yanakuwa kwenye wageni waalikwa as tunajua kila mmoja wao anataka kuvaa apendeze na awe kwenye ile list ya best dressed katika siku hio, Ijumaa Wema Sepetu amesherehekea siku yake ya kuzaliwa na watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika birthday party yake.

Tumekuletea looks kutoka kwa Hamisa Mobetto, Nandy, Gigi Money,Lulu Diva, Elizabeth Michael pamoja na Aunty Ezekiel angalia video hapo chini kujua nani alivaa nini

tuambie kwako ni nani alipendeza zaidi kati ya hawa wote?

Related posts