SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Malkia Wa Nguvu Red Carpet Looks
Mitindo

Reviewing Malkia Wa Nguvu Red Carpet Looks 

Event ya malkia wa nguvu 2021 imefanyika jumamosi ya tarehe 24, watu maarufu mbalimbali walihudhuria event hii na kuna wale waliopenda na waliotupa mshangao, tuanze na kusema ilikuwa ni sad red carpet kuiona mwaka 2021 they took us back to 90’s kweusi.

Tuanze na Best Dressed wa siku hii,

Waliopendeza ni Frida Amani, ambae alivalia red skirt, na sequin top akamalizia muonekano wake na statement accessories.

Meena Ally ambae alivalia a very classic black dress na red turban akiwa amemalizia muonekano wake na makeup nzuri.

Wengine ni Lilian Masuka na Anderson Dickson

Ambao kwa siku hii hawakutokea inavyotakiwa kabisa kabisa ni

Mamy Baby Tz, muonekano wake ulikuwa na alot going on, gauni yenyewe ina lace, sequin, pull neck vitu kibao ambavyo labda vichache vingepungua tungeelewa pia kichwani aliongezea kiua chekundu which ilikuwa ni unnecessary.

Babuu wa kitaa, we get it alikuwa inspired na Scottish style (Kilt, knee-length) lakini ilifanyika very wrong kuanzia viatu, socks na fitting kwa ujumla.

Dahuu alikuwa na idea lakini fundi alimchoresha, tunatamani kama angeacha suit iwe nyeusi tu bila vikamba vyekundu, vimeharibu idea yote na muonekano mzima.

well ni matumaini yetu mwakani kutakuwa na maendeleo na mchaguzi wa rangi hizi rangi ni ngumu mno, ndio maana wengi wameend up kuharibu.

Related posts

5 Comments

  1. ruger american 6.5 creedmoor

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-malkia-wa-nguvu-red-carpet-looks/ […]

  2. Oregon mushroom shop

    … [Trackback]

    […] Here you can find 74530 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-malkia-wa-nguvu-red-carpet-looks/ […]

  3. cc shop

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-malkia-wa-nguvu-red-carpet-looks/ […]

  4. superkaya88

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-malkia-wa-nguvu-red-carpet-looks/ […]

  5. gym music 2023

    gym music 2023

    gym music 2023

Comments are closed.