SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Mima’s 2018 Collection
Mitindo

Reviewing Mima’s 2018 Collection 

Ikiwa ni Ijumaa nyingine katika Mwezi huu Mtukufu Wa Ramadhani tunakuletea collection za mavazi ya stara ambazo zilikuwa debuted katika jukwaa la Stara Fashion Week 2018, Katika collection ambazo tumezipenda hii nayo ilikuwa moja wapo. Unajistiri lakini yet upo fashionable.

Mbunifu wa Collection hii anaitwa Halima Sebuge, ametupa kiasi ya jinsi ambavyo sisi tulitegemea kuona, sio wengi ambao wanaweza kuvaa mabaibui tulitegemea kuona wabunifu wanabuni mavazi mengine ambayo yatawagusa wengine pia na hicho ndicho Halima amefanya mavazi yake yanamgusa kila mtu wa rika tofauti tofauti. katika collection yake kulikuwa na skirts, blouse, suruali etc.

Tukianza na hizi two pieces ambazo sisi zilituvutia sana ni kwa sababu zipo simple & elegant, zinaweza kuvaliwa kazini, kama umealikwa katika ftari lakini pia unaweza kuvaa kimoja kimoja inategemea na unavyo penda.

Colorful ikiwa wengine walikuwa na collection ambazo rangi zao zipo calm Mima yeye alichagua kuwa na rangi katika collection yake tumependa hii ambayo inatoka kwake ni corporate pieces ambazo nazo unaweza kuvaa tofauti tofauti na sehemu tofauti,major key alert katika kununua mavazi ni kujua je ni multi factional? inawezekana kuvaliwa sehemu tofauti na nyakati tofauti? lakini je inaweza kuvalika na mavazi mengine?

Stripes, Stripes patterns tumeziona katika run way za wabunifu mbalimbali lakini katika mavazi ya Stara si mara nringi utakuta wame tumia fabrics au patters za aina hii mbunifu Halima ametuletea namna ambavyo inaweza kutumika katika mavazi ya stara pia, keeping it modest lakini pia trendy & fashionable.

Ruffle trend –  katika collection yake hii Halima pia amejitaidi kuweka trend ambazo zinakiki duniani katika modest way, ambapo tumeone ruffle trend ikiwepo katika collection yake kama blouse na magauni

Tumependa hii collection kama ambacho tunaweza kumshauri Halima ni basi awe more creative most of her pieces ni nzuri lakini zipo simple sana yoyote anaweza kufanya, lakini pia kuongeza more unique  touch’s katika ubunifu wake. Lakini tumependa hii collection.

Related posts

3 Comments

 1. Liberty Caps Mushroom

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-mimas-2018-collection/ […]

 2. black molly drug slang,

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-mimas-2018-collection/ […]

 3. click through the next site

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-mimas-2018-collection/ […]

Comments are closed.