SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Mimi Mars Video Sitamani Styled By Joujou Nyaki
Mitindo

Reviewing Mimi Mars Video Sitamani Styled By Joujou Nyaki 

Mwaka umeanza vizuri as tumeona wasanii wengi wametoa nyimbo nzuri na video nzuri, tume notice asilimia kubwa ya hizi music videos wasanii wameshirikisha ma-stylist katika kuwastyled kwenye mavazi, can we take a moment to say Yaaas finally its happening

 

Leo tupo na wimbo mpya ya Mimi Mars akiwa kamshirikisha Young Lunya, hii video imekuwa styled na the one and only Joujou Nyaki & tunaweza kusema she did an amaizing work, color coordination ni nzuri very fashionable and trendy. Tume ona vitu kama neutral colors, wamekuwa accessoried vizuri tumependa jinsi Mimi Mars alivyopewa muonekano wa kidada.

On accessoriez zilikuwa on point tumependa hereni za Wildad na Mimi Mars

Mimi Mars amevalishwa outfit tatu & we loved them all kipade cha kwanza amevaa polka dot blouse yenye nyeupe na nyeusi rangi ambazo zinaishi, miaka na miaka so tunaweza kusema mtu ataangalia hii video miaka miwili mbele na akapenda muonekano huu.

Outfit ya pili Mimi Mars amevalishwa T-shirt dress ya brown na thigh high boots ambazo zina trend kwa sasa we love this look so chic

Ya mwisho ni hii outfit ya green turquoise ambayo tumeipenda sana kutokana na kwamba stylist amejaribu ku add some color kuifanya video ipop zaidi

Tumefanya mahojiano mafupi na stylist wa video hii

Afroswagga: what was the story behind the outfits?

Jou Jou: We were going for a retro-look, sort of the 90’s fashion.

Afroswagga: Kwa Mimi mars tumeona neutral colors kwa outfits zote tatu kwanini?

Joujou Nyaki: I chose the neutral colors because that highlights the artist natural beauty

 

Afroswagga: Unadhani watu wataangalia hii video miaka mitano mbele na bado kuona IPO stylish?

Joujou Nyaki: Yes, they will because I used classic 90’s style that will be appreciated for years to come.

Afroswagga: chochote ungependa kuwaambia wasanii wetu kuhusu kutumia ma-stylist kwenye kazi zao

Joujou Nyaki: They are welcome to Joujou House of Style, we specialize in styling artists for videos and photo shoots.

Unaweza kuangalia video hapo chini na review ya wimbo wa Nuru The Light Click Hapa

Related posts

4 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-mimi-mars-video-sitamani-styled-by-joujou-nyaki/ […]

 2. is molly skaggs related to ricky,

  … [Trackback]

  […] There you will find 57690 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-mimi-mars-video-sitamani-styled-by-joujou-nyaki/ […]

 3. DMT Vape Pens For Sale Perth

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-mimi-mars-video-sitamani-styled-by-joujou-nyaki/ […]

 4. おっぱい 痴漢

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-mimi-mars-video-sitamani-styled-by-joujou-nyaki/ […]

Comments are closed.