SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Mr Blue’s Video – Mapozi
Mitindo

Reviewing Mr Blue’s Video – Mapozi 

Ikiwa tunaona kwa sasa wanamuziki wana jitahidi kufanya video’s nzuri za miziki yao lakini pia kujaribu kuvaa vizuri na kushirikisha stylist, tumeona video ya Mimi Mars – Sitamani ilivyo kuwa nzuri well dressed na ipo clear, tumeona kwanini tusikumbuke zile za zamani, leo katika throw back tunakuletea wimbo wa Mapozi kutoka kwa mwanamuziki Mr. Blue.

Well kama ulikuwa wa miaka ya 90’s mpaka 2000 utakua unaujua huu wimbo, kila mtu alikua anauimba the fact that Mr. Blue alikua mdogo kipindi hiki na akatoa hit ambayo kila mtu aliielewa ni something else. Well tuanze ku-review fashion sense katika video hii.

Over Sized Cloth 

Zamani over size was a thing na inaonekana kurudi, tuki judge kwa sasa unaweza kuona jinsi ambavyo Blue ana jitahidi kuweka mikono mifukoni na kuishika ili imkae vizuri, alikuwa na mwili mdogo kipindi hiki na nguo kubwa sinaweza kumtosha baunsa wa Diamond Platnumz, lakini kwa kipindi hiko he was on point.

Full Jersey Outfit kama una kumbuka vizuri ilikuwa kuvaa full jersey au jersey vest tu ni trend amlost kila mkaka alivaa haya mavazi, zilikuwa ndefu na zina kwapa kubwa but hey its fashion right? na kwenye huu wimbo utaona kwamba asilimia 85% Blue amevaa full jersey outfit na kofia alizo match nazo.

One Vest Blue amevaa hii vest video nzima, part aliyo lala, pale alipo kaa anaimba na vest tu lakini ukiangalia kwa makini katika mavazi yake kama hio ya full track utaona hii vest inachungulia pia.

Long Chain hatujui why na wapi aliipata but Blue hii chain ilikuaje mwenzetu ilikuwa ndefu mno unaweza kugeuza kitanzi ukajitundika.

The girl hajaonekana mara nyingi lakini most of the time ameonekana kavaa full outfit zinazo fanana,

Well je ungependa kuona video gani tukiireview? tuambie katika box la comment.

 

Related posts

2 Comments

  1. Hawaiian Psilocybe Mushrooms​

    … [Trackback]

    […] There you will find 82848 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-mr-blues-video-mapozi/ […]

  2. how to join illuminati

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-mr-blues-video-mapozi/ […]

Comments are closed.