SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Nandy’s Kitchen Party Looks
Mitindo

Reviewing Nandy’s Kitchen Party Looks 

Jumapili ilikuwa sherehe ya kitchen party ya Faustina Charles Mfinaga a.ka Nandy na watu maarufu wengi walihudhuria ambapo wengi wao walipendeza mno. Rangi za usiku huu zilikuwa gold,njano,nyekundu pamoja na nyeupe. Kama ilivyo ada ni lazima tutoe two cents zetu kwenye mionekano tuanze na mwenye sherehe.

Ikiwa yeye ni mwenye sherehe Nandy alienda tofauti kidogo na waalikwa ambapo alivaa red layered tulle dress ambayo ilikuwa na spaghetti strap’s, dress hii ilikuwa na emballished stones kifuani alimalizia muonekano wake na head gear ambayo wengi walionekana kutokuvutiwa nayo, all we can say ni kwamba tunadhani walijaribu kumfanya awe comfortable kwenye siku hii bila kubwanwa sana ikiwa pia ni mjamzito, tumependa kwamba wamemtofautisha color na wageni kwa maana wageni walipania sana hii siku. Makeup was on point.

MUA @glorylasway
Dress @thee.red.label

Sishkiki Sikamatiki kama ambavyo jina lake linavyojieleza Sishkiki looked dazzling in Elisha Red Label corset dress, tumependa fitting, tumependa design namna ambavyo cups hazijapelea kifuani and the slit chini just wow, she understood & delivered the assigment.

. MUA: @makeupbyjojotz
. 📷: @prez_rajay
. Accessories: @gee_star_jewellery
. Dress: @thee.red.label

Fahyvanny yeye alivalishwa na Kyamirwa, tumependa namna ambavyo wame co-ordinate colors zote za siku hii kwenye hii nguo bila ya kuwa too much, yeye na team yake walieelewa assigment, from the accessories, makeup, dress everything was on point.

Dressed @kyamirwa
Luxury George fabrics: @alasoketanzania
Gele and kipepeo: @alasoketanzania
Original coral and gold accessories: @jewelleriesbycrystal

Ammy Gal Tz tungekuwa na sehemu ya kuweka audio ya vigelegele tungeweka, toka alipotoka mpaka hapa alipofikia Ammy ameupiga mwingi, loved everything about this look.

MUA @queennuru_makeup 🥰
👗 @allie_clothings 🙌🏼
📸 @_benjooh

Mamy Baby Tz akiwa amevalishwa na Ndesag Design, tunaweza kusema alipendeza, tunatamani maua yasingekuwepo hapo mbele maana yame stole attention ya outfit but everything else is on point.

fit by @ndesag_designs
📷 : @_benjooh

Related posts