SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Ommy Dimpoz New Music Video “Kata”
Mitindo

Reviewing Ommy Dimpoz New Music Video “Kata” 

Hii ni review yetu ya kwanza toka mwaka 2020 uanze, ni video mpya kabisa kutoka kwa mwanamziki Ommy Dimpoz akiwa amemshirikisha mwanamuziki Nandy.

Tumechagua kuwa review yetu ya kwanza sababu kwa ambavyo tunajua hii ni video ya muziki kutoka toka mwaka huu uanze. Wimbo una maudhui ya Dance Hall, Video imefanyika beach na part nyingine ni indoor.

Wengi tunajua likija swala la dancehall video zake zinakuwa colorful na hii video ipo hivi pia, its colorful kuanzia mavazi mapaka decoration zake. Tuanze na mavazi ya Nandy Na Ommy Dimpoz.

Video nzima hii part ilitufurahisha the matching outfit ilikuwa on point, Nandy’s dress inatoka kwa mbunifu kutoka Tanzania Mahaumes.
We loved this black & gold fit, imeenda vizuri na accessories pamoja na nywele. Let me say hii part imetukumbusha wimbo wa King Of Dancehall ya Beenie Man.
Nandy’s fit ilikuwa on poit hapa, kwa Ommy tulifeel like mambo mengi yanaendelea

The beach part was a joke ( ile part ya mchana wapo beach na dancers ) hii ni video nyingine ambayo tunasema we have to look na maudhui, sehemu tunayofanyia video, how in the name of fashion mnavaa track suits beach? ndani ya maji?

kingine ambacho hatukukipenda kwenye hii video ni mavazi ya dancers, we real need to start investing kwenye mavazi ya dancers pia. Wahusika wamependeza dancers wamevalishwa valishwa tu alimradi wamevaa.

Well Afromates tuambie umeionaje hii video?

Related posts

6 Comments

 1. สล็อตวอเลท ไม่มีขั้นต่ำ

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-ommy-dimpoz-new-music-video-kata/ […]

 2. 코인주식

  … [Trackback]

  […] There you will find 30203 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-ommy-dimpoz-new-music-video-kata/ […]

 3. voir le site

  … [Trackback]

  […] Here you will find 56698 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-ommy-dimpoz-new-music-video-kata/ […]

 4. สินเชื่อโฉนดที่ดินเปล่า

  … [Trackback]

  […] Here you can find 67378 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-ommy-dimpoz-new-music-video-kata/ […]

 5. check out this site

  … [Trackback]

  […] Here you will find 51048 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-ommy-dimpoz-new-music-video-kata/ […]

 6. ทางเข้า lsm99

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-ommy-dimpoz-new-music-video-kata/ […]

Comments are closed.