SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Outfits Kutoka Katika Harusi Ya Mwanamziki Peter Msechu
Mitindo

Reviewing Outfits Kutoka Katika Harusi Ya Mwanamziki Peter Msechu 

Tulianza kumjua mwanamziki huyu katika Tamasha la BSS ambapo na yeye alikuwa mshiriki na kufanikiwa kushika namba mbili mwaka 2009. Baada ya hapo safari yake katika ulimwengu wa muziki ilianza.

Weekend hii mwanamuziki huyu amefanikiwa kufunga ndoa na mpenzi wake aitwae Amarris Lauren. Na tupo hapa kukuletea walivaa nini kuanzia kwenye send off mpaka harusi.

Tukianza kwenye send off, Ammaris alivaa strapless mermaid dress kutoka kwa mbunifu Kyamirwa wakati Peter yeye alivaa two pieces kutoka kwa mbunifu Mgombelwa brand.

Siku ya ndoa kanisani Amarris alivaa simple pure white dress kutoka kwa mbunifu Kyamirwa tumependa the simplicity yet elegance ya hii look. Makeup ni kutoka kwa Lavie Makeup she just looked clean.

Peter yeye alivaa three pieces suit kutoka kwa Mtani Bespoke.

Wakati katika reception Amarris alivaa tena gown kutoka kwa mbunifu Kyamirwa hii ilikuwa one shoulder strap dress, Na Peter alibadilisha to three pieces black suit.

Well Afromates tunawakia Peter Na Amarris maisha mema ya ndoa.

Related posts

3 Comments

  1. buy blue oyster mushroom

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-outfits-kutoka-katika-harusi-ya-mwanamziki-peter-msechu/ […]

  2. Provident Financial Management

    … [Trackback]

    […] There you will find 9012 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-outfits-kutoka-katika-harusi-ya-mwanamziki-peter-msechu/ […]

  3. https://www.postandcourier.com/sponsored/phenq-reviews-does-this-diet-pill-actually-work/article_1cdbfb1a-395f-11ee-9d97-33c51303c959.html

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-outfits-kutoka-katika-harusi-ya-mwanamziki-peter-msechu/ […]

Comments are closed.